TRA: Hivi huu ndio utendaji bora? Bora mfutwe tu...

WANA JF mimi nina mzigo toka mombasa clearing agent wangu ame lodge document tangu tarehe 3 nov mpaka leo sijajua nilipe ushuru kiasi gani!kisa tiscan mkataba umeisha na asycuda inatumia mtandao wa ttcl ambao wamelazimishwa na govt ni un reliable!ni meenda long room ijumaa j3 j4 na leo sijafanikiwa!kila mara JK analaumu TPA lakini tatizo lipo TRA katika ucheleweshaji wa mizigo.
 
Hivi hili swali kwanini hakuulizwa mdanganyika ila siku ya muulize rais @ yahoo.com TBC!

Aliulizwa labda hukusikia jibu! alisema systems zinakuja, kuomba passport sio lazima uende uhamiaji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! teh teh teh teeeeeee
:hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom