TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,889
- 11,285
Najua kuna wadau wa TRA humu jamvini
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
for the past 8 weeks tumekua tunashuhudia mambo mengi sana ya ajabuajabu kutoka TRA.. personally kuna incidences tatu nimezipata
- ya kwanza mliuplift gari na mkalipwa lakini baada ya all clear lile gari likazuiwa getini at hiyo valuation imekosewa... sasa nauliza makosa yenu yanakuwaje adhabu yangu?? je mwaweza beba makosa yangu?? ni wiki ya tano sasa mnajizungusha tu
- jingine ni vitu visivyotozwa kodi, mmeleta utaratibu wa kupitia valuation na sasa tuna mwezi na nusu mnashindwa hata ku-clear makopyuta na kila mnapojaribu kuyatoa mnakosea documents
- kwa sasa mmeonesha wazi hamna ccordination ya mipango yenu kwani tumehangaika wiki ya tatu sasa na kila idara inaonekana haijui idara nyenzake infanya nini... hivi kweli haya ndio maanalizi ya kuinua uchumi na kutuondolea kero???
- Tumekimbilia mikoani, mmecentralise systems ambazo hata nyie wenyewe hamzielewe...