TPN kuanzisha kampuni - Wanachama waitwa kushiriki

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Mzalendo Mwenzangu



Sasa umefika wakati wa kuonyesha vitendo, nakuomba unijibu kuthibitisha
kuhudhuria kwako katika

Kikao kitaakachofanyika siku ya Jumapili 9th May 2010.



Kama unavyofahamu, katika Kikao cha Kamati ya Utendaji Kilichokaa siku ya
Ijumaa Tarehe 9 Aprili 2010. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalijadiliwa
kuhusiana na suala zima la Uwezeshaji kama EC ilivyoelekezwa na Mkutano
Mkuu:



* EC imeshauri kama ilivyoelekezwa na AGM kuwa Consultancy za aina
zote ziwe ni source ya Funds. Kwa hili imeshauriwa iundwe kampuni maalumu
say TPN Limited ambayo itajiendesha kibiashara. Katika Kampuni hii Wanachama
ambao wana jitoa kununua shares na ambao watakuwa serious na kibiashara
zaidi wanashauriwa wawe waanzilishi. Katika hili ni dhahiri kuwa TPN ina
mtandao mkubwa ambao bila ya shaka utatusaidia kutupa information za
Consultancies mbalimbali. Kampuni hii lazima ianze na Mtaji mkubwa kwa
kununua share labda za Million 6 kwa mwaka ambazo kila mwezi mwanahisa
anaweza kutoa Shillingi laki 5 kwa mwezi ambayo itakuwa ni Permanent kama
NSSF au PAYE.



* Consultancies zitafanywa na relevant individuals ambao watalipwa na
TPN kampuni kibiashara na yenyewe kulipwa na client. Pesa zitakazopatikana
zitaendelea kutunisha mfuko, na pia TPN na dividends za wanahisa. TPN
Limited inaweza kufinance kampuni zinazohitaji mitaji midogo naya kati kwa
kufanya assessment na kasha kuzikopesha kwa masharti nafuu na huku ikiwa na
strategic Shares. Kwa kufanya yote haya TPN itafanya kazi na makampuni ya
Members wake badala ya kushindana naye. Finally TPN kampuni itakuwa zaidi ya
PWC au KPMG etc. Kampuni kama Fortune Real Estate and Fugalima zinaweza
kunifaika na system ya Funding. Yapo mawazo mengi na haya ni machache tu. EC
imeona ni vema ikaitisha Mkutano kwa wale watakaovutiwa na wazo hili siku
ya Jumapili tarehe 9th May 2010 kuanzia saa 8.00 Mchana ofisi za TPN
zilizoko Nyerere/Mandela Road,Dar Group Building (TOHS) karibu na TBC Taifa
au RTD). Kikao hiki kitajadili Kuanzishwa, Shareholders, Subscriptions na
Operations, etc.

Wasalaam

Sanctus Mtsimbe

Nawaunga mkono TPN!! Wakati wa kutenda ndio huu.. wasomi mnakaribishwa.
 
Good idea hata yule jamaa akisema gomeni mnaweza
 
Back
Top Bottom