Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
- Thread starter
- #21
Mama:
Networking ni kitu muhimu sana.
Asante Zakumi. You said it all!
Mama:
Networking ni kitu muhimu sana.
.... pale kinapofanyika (preferably si kwa gharama kubwa sana) na kuleta matunda
Unayoongea ni muhimu sana. Gharama za information ni ndogo na ndizo ziletazo matunda.
Hila kitu kinachoni-bore kuhusu watanzania, ni kutopeana information za kuendelea. Hapa ninapokaa nakutana na naongea sana na watanzania lakini sioni mtu kastua kuwa kuna kitu kinachoweza kufanyika zaidi ya ubishi wa mambo ya siasa za kimataifa.
Gharama kubwa is very relative. Nikupe mfano moja, pale UDEC course ya Ujasiliamali ya ujasiliamali ya masaa 40 ni TZS 350,000.
Katika TPN Event Fee ya Eventi ni kati ya TZS 5,000 na 15,000. Unapata Similar Lecture, Materials, Soft Copy ya PPT, Networking in terms of Market na Mitaji, Refreshments nk. Je, ni gharma ipi tunaongelea?
Katika Event ya sasa TZS 25,000 ni gharama ya chakula na maandalizi yote na bado kuna faida nyingi ya kujumuika na kubadilishana mawazo katika maada nilizozitaja. Kama una mawazo mbadala, karibu sana.
Mambo haya ya networking kwa nchi yetu ndiyo yamezaaa ufisadi ambao haujawahi kutokea.Mtandao wa kina RA nao ulianza hivi hivi kama TPN.
Kuna sehemu nyingi sana za kufanya mihadhara bila ya kuwa na gharama kubwa na mie nitakuwatayari kuwaombea.
.sehemu kama nkurumah pale chuo kikuu cha dar esa salaam mnaweza kupata.tyatizo mind za watanzania zimejaa upuuzi mmoja kwamba kila hafla au semina lazima pesa nyingi zitumike na hakuna mtu anayefanya review baada ya hiyo mihadhara
we need a change.
Mkuu Mfumwa tupo Mstari Mmmoja.Sanctus amevwatuka tu na hana hoja zaidi kaleta vioja.aweke CV yake hapa
Mkuu Sanctus Mtsimbe, kwanza nakushukuru sana kwa kujibu hoja zilizotolewa. Hiyo ndio tulitegemea toka kwako. Pia hongera kwa kuweza kuendesha kozi ya Ujasiriamali kati ya 5,000 -15,000 wakati hao UDEC ni 350,000, mnastahili hongera kwa hilo.
Nikutakie hafla njema hapo kesho, najua utakuwa katika maandalizi ya hapa na pale. Hivyo sitaongeza swali katika majibu yako.
Mkuu SM,
Heshima mbele sana! Mimi si member wa TPN lakini nina taarifa nayo, napenda tu nikupongeze wewe binafsi kwanza kwa kuipa hoja ya Mkuu Gembe ''Muarobaini''! Nimependa sana ulivyotoa majibu vizuri bila jazba, nasema hivi kwa sababu hoja zao zinakera, zinatia majaribu, za kibinafsi zaidi na kukatisha tamaa sana!
Naomba tu niwape moyo nyie wachache mlioamua kuwaunganisha wanataluma wa Tanzania katika kuleta maendeleo ya kweli kwao na kwa Tanzania kwa ujumla! Kama ulivyosema, binadamu (hasa sisi miafrika) wakati mwingine huwatunapenda kuwakatisha tamaa wengine au kukosoa tu bila hata ya kutoa suluhisho au njia mbadala ya kufanya au ya kutatua matatizo yetu....wakati mwingine ukiona watu wanafanya hivyo ujue wameingiwa na husuda au kasumba ya wivu fulani kuona mwanzoni waliwakebehi (kwamba mngefeli) na sasa mnaelekea kushinda kinyume na matarajio yao! Just know that, kila penye mafanikio hapakosekani misukosuko!
Nawatakia networking njema hapo kesho (just that we have NBAA seminar at DCC same date, ningejaribu kuattend)mkijua kwamba kunaprofessionals wengine outside who are supporting you guys at ZIM's Inflation rate but also there others opposing it with all efforts at the same rate like Mkuu G!
Cheers!
Ninapenda sana kuhudhuria hii party ya wanataaluma hiyo J'mosi,kwa mujibu wa ramani hii sehemu ya tukio ni nje ya jiji la Dar.;je kuna arrangement yeyote ya usafiri au kila mtu anajitegemea kivyake?Ningependa kufahamu mapema ili niweze kutoa maamuzi.Asanteni sana . . .
Namba ya Waliothibitisha ni nzuri sana . . .
Nashukuru wote kwa kuitikia mwito. Kwa wale wa dakika za mwisho bado mnakaribishwa pia.
Wasalaam.
Mkuu Sanctus.
Gembe asikupe stress we songa mbele.
Hawa watu ambao kazi yao ni kuuliza maswali tu bila kutoa solutions za matatizo ya nchi yetu ndio wanaoturudisha nyuma
Gembe najua unaweza kusema zaidi ya uliyosema angalau kwa kuwatia moyo vijana waliochukua hatua kuliko kuwatengeneza mazingira hasi
Mkuu Sanctus,
Watz bwana..wazuri kupinga tu! sasa wewe Gembe leta hapa mawazo mbadala..na mda wote wewe ulikuwa wapi hujaleta mawazo yoyote???
Je kwani ni dhambi Watz wakakutana tu wakajumuika na hufurahia?
Tz sii Kosovo au Rwanda au Kenya! Sisi tunapendana kama Watu wamoja!
Nadhani kukutana na kufahamiana vinaashiria nia njema!
Sipo Tz mkuu Mkuu Sanctus..ila kama ninelikuwepo kama Mzalendo ningekuja tukajumuika wote!
Nawatakieni Ghafla Njema!
Always in love of my countrymen ni mimi Mzalendohalisi!
Ninapenda sana kuhudhuria hii party ya wanataaluma hiyo J'mosi,kwa mujibu wa ramani hii sehemu ya tukio ni nje ya jiji la Dar.;je kuna arrangement yeyote ya usafiri au kila mtu anajitegemea kivyake?Ningependa kufahamu mapema ili niweze kutoa maamuzi.
Today is the day . . . .
Karibuni sana.
Let us talk about "tz diaspora summit dec 2009" and "tuzo".