Tpa port charges-non containerized cargo

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
394
124
Naomba kuuliza tozo au kwa jina maarufu ''port charges'' wanazo toza TPA kwa mizigo ambayo haiko kwenye kontena wanatumia mfumo gani.

Kuna mtu atanitumia parts za gari kwenye box la ujazo wa kati ya 1 hadi 1.5 cubic mita., uzito wa makadirio kama 70-100 KG gross weight. CIF kama USD 1500 (mfano).

Kwa TRA nakumbuka ni 25% ya CIF.

Nahitaji aina za tozo na formula au % za CIF wanazotoza

Kwa wale wenye uzoefu, wa kuagiza machineries/parts toka nje au Clearance & Forwarding agents mnaweza kusaidia hili.

 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom