TP mazemba yakiuka kanuni za fifa jioni

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Nipo jirani kabisa na mhe rage hapa nyumbani kwake ghafla waandishi wa tbc wameingia na kunatetesi za tp mazembe kuchakachua baadhi ya taratibu. Subirn wamalize kuzungumza na mhe nitawajuza
 
ungeileta baada ya kumaliza mazungumzo.. haraka ya nini?
 
usitoke bila ku2pa habari yoyote si unajua sie wengine ni wanyama fc,presha zishaanza kupanda na hii April mosi
 
Nimeongea na mhe rage dak hii na amenithibitishia japo juu kuwa kweli mazembe wamekiuka taratibu. Mh anaelekea habari maelezo sasa iv
 
Mwisho wa uongo kwenye hii siku si saa nne jamani? Nasikia kuna mtu katangaza babu wa loliondo yupo viwanja vya jangwani wacha watu wafurike pale......
 
Mungu aliharamisha uongo, kila afanyaye uongo ajue anamuudhi Mungu. Ole wako wewe na mimi tunayejihusisha katika upuuzi huo. Ukiongopa humpunguzii Mungu hata chembe ila jua unajichimbia kaburi mwenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom