khauka
Senior Member
- Jan 26, 2011
- 100
- 4
Habari wana JF
Leo nimewaletea Toyota voxy. Year-2002, ni auto, inatumia petrol, mile age 80,000km, ina automatic engine startup(yani unaweza kuiwasha ukiwa hujapanda uko nje), ina dark blue colour, ipo katika hali nzuri imeshafanyiwa registration zote inamwezi sasa tangu itoke bandarini. Bei 17milion (Mniwie radhi kwa quality mbaya ya picha), yeyote aliyekua interested karibu tufanye biashara. Tuwasiliane kwa no. 0715841348/0754841348