Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
kuna mwenye data zozote kuhusiana na ubora wa hii gari?,Tafadhari naomba unijuze!
shukran.
shukran.
NI MPAYA KIDOGO KWENYE SOKO LA TZ........UTASUMBUKA SPARES....NA INA BEI KIDOGO
Poa mkuu,maana nimetokea kuizimia sana.
NI MPAYA KIDOGO KWENYE SOKO LA TZ........UTASUMBUKA SPARES....NA INA BEI KIDOGO
Naona zinazidi kuzagaa jijini, ngoja nifanye mchakato wa kupata moja maana nimeona wanachaguo langu la Manual gear transmission.
haina 4WD?