toyota vitz for sale

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari wana JF

vitz nyekundu mpya bado ipo tayari kwa kuuzwa, bei ni SH 6.4 million
tuwasiliane kwenye 0716-369299

vitz for sale.jpg
 
Vits2002-2010=10 haf unaambiwa imetembea km 130000\10yrs=13000per year? yani ilikuwa inaenda kigoma na kurudi mara tano kwa mwaka kwa miaka kumi? duh?
 
ninauza hii gari sababu naitaji kununua gari nyingine na pia gari ilikua haijatumika mda mrefu maana ilikua imeletwa nchini 2010 na ilikua inatumika mjini tu. Gari ipo apa town opposite na CBE.
 
Hii sio kweli mkuu, we ni dalali wa kuuza magari hapa JF sasa unaposema unauza ili ununue gari jingine sijui unamdanganya nani? Watu wote wanakujua humu. Acha hizo kaka
 
Vits2002-2010=10 haf unaambiwa imetembea km 130000\10yrs=13000per year? yani ilikuwa inaenda kigoma na kurudi mara tano kwa mwaka kwa miaka kumi? duh?

umbali wa dar—kigoma kwa barabara za tanzania ingekua si gari nzuri kwa sasa ila kwa barabara, mafuta na spea za wenzetu (hasa japan). hilo si issue. pia angalia km za gari zinazouzw mtandaoni muone zinauzwa zikiwa na odometer inasoma ngapi, check hasa toyota IST.
ambazo nyingi ni za 2002 kwenda mbele
 
Hii sio kweli mkuu, we ni dalali wa kuuza magari hapa JF sasa unaposema unauza ili ununue gari jingine sijui unamdanganya nani? Watu wote wanakujua humu. Acha hizo kaka

Huyu jamaa ni muongo sana,sijui kwa nini habadiriki?hapo atakuwa ameongeza zake 2m dawa ni kumtafuta mwenye mali tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom