Toyota Rav4 ya 2004 na kuendelea na Suzuki Grand Vitara ya 2005 na kuendelea

haya baba kama hujapata kuna ya cc 1960 manual ful duty paid tangazo la mwanahalisi 16/3/2011 bei 14m
mawasiliano 0787691438

Asante sana Masika, hizi manual ziko nyingi na bei zake ndiyo hizo, asante kwa taarifa nitaifanyia kazi mara moja.
 
Back
Top Bottom