Toyota Rav 4, ya Mwaka 2007

Richard Nguma

Member
Apr 29, 2011
64
5
Ndugu wana GREAT THINKER kwanza natakunguliza shukrani zangu kwa wana GT KWA JINSI MNAVYOTOA USHAURI MZURI KILA NINAPOHITAJI USHAURI, THANKS VERY MUCH AND GOD BLESS U ALL. NIna Toyota Rav 4 Limited ya mwaka 2007 ambayo ni LEFT HAND DRIVING NA NATAKA KUJA NAYO NYUMBANI ARUSHA, JE INAFAA KUBADILISHA IWE RIGHT HAND DRIVING?PLEASE KAMA KUNA MTU ANAYEJUA NDUGU, RAFIKI AU KARAKANA NAWEZA KUPELEKA IFANYIWE MAREKEBISHO.ASANTENI SANA WANA GT.my email
richardnguma@gmail.com
cell +15015451182 Text only.
 
Fanyia huko huko nje... for best results.... Otherwise njoo nayo ufanyie Toyota hapa Dar.... But watakunyoa kweli...
 
Asante sana mwana GT

Usinielewe vibaya mkuu wangu,
Namaanisha kuna operation zingine kwa hapa bongo ni vigumu sana kufanikiwa. Nimechukulia mfano wa kubadili mwanamke awe mwanaume nikiwa na maana wenzetu huko ni kitu cha kawaida tu wakati hapa sidhani kama wanaweza.

Sasa upande wa gari kuhamisha Sterling, Clutch, Accelerator n.k. from kishoto to kulia sidhani kama no rahisi hapa kwetu. Hapo bado kubadili Dashboard nzima ya gari, kuhamisha Airbargs, e.t.c,

Nakushauri tembelea hivyohivyo tu kaka!!
 
Back
Top Bottom