Toyota Rav 4 inahitajika kununuliwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri.
Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil.
Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000
 
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri.
Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil.
Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000

Rev iliyokwenye hali nzuri huwezipata kwa 8.5M
Sijui hali nzuri ndio ipi hiyo.
Rav4 iliyokwenye hali nzuri ni 11m kwenda juu.
ndugu yangu kitomai umefanya sana biashara za magari. usitake kuniangusha
sema tu una 8.5m unataka rav4. hiyo issue ya hali nzuri achana nayo kabisa
 
ipo ya bei hiyo isipokua yenyewe ni manual. utaiweza?
 
Hiyo gari ipo dar sehemu gani? Unaweza kunitumia picha zake katika email yangu kitomai.1stchoice@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom