Toyota passo, 2004, red metallic, 1300cc, Auto, in very good condition NAUZA.....

Sidhani kama ni kweli imeingia miezi minne iliyopita, maana miezi hiyo registration ilikuwa tayari imeiingia kwenye C na hiyo ipo kwenye B (niliingiza gari mwezi wa nne na reg yake inaanzia na CB). Hata hizo 17km/l sidhani kama ni sahihi, may be kwenye 12-13km/l. Anyway ungeanzia angalau 5m ningefikiria. Kuuza kwema.
 
stop lying ww , 5 May 2012 ndio registration ya hii gari nimefanya TRA, insurance, na Sticker iko hapo but sijui kama inasomeka, na read ni BZK, letters za mwisho.... na 1 liter inakwenda 17 km, nimetembelea 5 months...

Nauza nice Toyota passo, see the pics, big music sound, upgraded, best Toyota car radio, automatic, 1300cc,good tyres
ina miezi 4 tangu imetoka Japan, LED blue light, Full AC, best ever fuel consumption 17km/liter, nzuri sana haina tatizo, ( call 0715800001 serious buyers only)

Ok! nimekupata, na hapa tena kwenye blue??

Haya ni maajabu, gari yenye miezi minne hapa bongo wewe unakuwa umetembelea miezi mitano?? anya way kuna uongo mwingi sana kwenye bandiko lako na umesifia sana kiasi kwamba mpaka unajichanganya. kila la kheri mkuu.
 
Mm si tapeli ww huna adabu.... ur not a buyer.... i own my car & selling .... so stop ur nosense.... kama unataka kununua kuwa wazi.... hutaki shut-up...

mkuu biashara haiendi hivyo!!! kwa mtindo huu utapigana na wateja
unapofanya biashara lazima uwe mpole, na toa ufafanuz bila panic, kwa mtindo huu wameshakupatia umeacha kuuza gar imeingia kwenye matusi, ww jibu hoja zitakazo kufanya uuze gari. ushauri tu
 
ina miezi 5 tangu imetoka Japan, LED blue light, Full AC, best ever fuel consumption 17km/liter, nzuri sana haina tatizo, ( call 0715800001 serious buyers only)

Tshs 9.0 M

Kama unataka kuenjoy town this is the car......spacious, shiny red metallic....

View attachment 68794View attachment 68795View attachment 68796View attachment 68797View attachment 68798View attachment 68799View attachment 68800View attachment 68801View attachment 68802View attachment 68803View attachment 68804View attachment 68805View attachment 68806

Mkuu 5M inaenda?? Am serious.
 
ongea bei ya mwisho ngapi je ikipatikana 7 cash juu ya meza nikupe mdada mmoja yupo BOT MZA Ananikera anataka fun cargo au vits lakini hii ataipenda ila offer yake ndio hiyo
 
mkuu biashara haiendi hivyo!!! kwa mtindo huu utapigana na wateja
unapofanya biashara lazima uwe mpole, na toa ufafanuz bila panic, kwa mtindo huu wameshakupatia umeacha kuuza gar imeingia kwenye matusi, ww jibu hoja zitakazo kufanya uuze gari. ushauri tu

True... Many thanks...
 
ongea bei ya mwisho ngapi je ikipatikana 7 cash juu ya meza nikupe mdada mmoja yupo BOT MZA Ananikera anataka fun cargo au vits lakini hii ataipenda ila offer yake ndio hiyo

Mwisho 8.7 M.... Fun cargo, vitz IST haioni kitu hapa... go to Toyota mini cars & compare...
 
Duh., mkuu shusha hata kidogo basi hata kwenye 7m

Ooohh...!! 8.7 M ndio last price...!! Na ukichelewa even this week inaweza isiishe nauza...!!! Tatizo ww unajua gari zuri ila hufiki bei.... 7.M hailipi kabisaa...
 
Hii gari kama naifananisha vile!!!!

No, nafikiri nlikua naichanganya na Funcargo, sorry!!
 
Ok... Watu wengi bado hawazijui Passo... ni gari zilizoanzwa tengenezwa 2004, Nov... Ni kubwa kidogo kwa IST NA SHAPE NZURI ZAIDI YA IST, Vitz, .. Fun Cargo haina shape... So is a very nice car...
 
stop lying ww , 5 May 2012 ndio registration ya hii gari nimefanya TRA, insurance, na Sticker iko hapo but sijui kama inasomeka, na read ni BZK, letters za mwisho.... na 1 liter inakwenda 17 km, nimetembelea 5 months...

BZK haiwezi kuwa imesajiliwa May 2012 mkuu, tuongeee biashara kutokana na hali ya gari ilivo mambo mengine tuyaache kuwekea chumvi sana
 
Back
Top Bottom