Toyota mark 2 for sale

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
547
WHITE IN COLOUR ,YEAR 1992,ENGINE 4S MANUAL ,1800cc,PRICE 4.5M CONTACT 0785165777 IKO KWENYE HALI NZURI .
 
Duh, M4.5 tu! Hebu weka picha mkuu, huenda nikakutafuta..
 
mbona picha hamna?? hii gari infaa kwa taxi hapa mjini???kwa mnaojua mnijuze.....
 
AQE...?
Imetumika sana na itakuwa imewekwa puti kwenye bodi. Anyway, tubandikie picha uenda ilikuwa imepaki uwani muda mrefu
 
tn
:poa
tn
:poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom