Toyota Landcruiser Prado inauzwa

Tylor

Member
Apr 12, 2010
41
33
Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com
 
Sasa mkuu we hujataja bei, mtu anakuambia anachoweza unasema haiwezi kuuzwa cheap kiasi hicho, wewe unaanzia ngapi? ndio la msingi, si ni biashara bwana? tupe bei unayoanza nayo kazi iwe rahisi sio tunapimana maji.
 
Back
Top Bottom