Toyota lancruiser hardtop inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
2003 year of manufacture. IHZ Diesel 4164cc . in good condition. Price 31mil. negotiable. contact 0717114409
 

Attachments

  • PIC01521.JPG
    PIC01521.JPG
    37.7 KB · Views: 76
  • PIC01522.JPG
    PIC01522.JPG
    28.6 KB · Views: 72
  • PIC01523.JPG
    PIC01523.JPG
    42.3 KB · Views: 81
  • PIC01524.JPG
    PIC01524.JPG
    36.8 KB · Views: 88
  • PIC01527.JPG
    PIC01527.JPG
    32.1 KB · Views: 83
Hii ndo yenyewe kwetu Makete kule unafukua tope tu kama unapanda mlima Kilimanjaro. Sasa imetembea Km ngapi Kitomai?
 
Hii ndo yenyewe kwetu Makete kule unafukua tope tu kama unapanda mlima Kilimanjaro. Sasa imetembea Km ngapi Kitomai?

Homeboy menikumbasha mbali sana......! nikiwa pre form one miaka hiyo, tulikuwa tunaenda na hii kitu kule Lupila/Sunji (kama upo), huko milima mzee acha kabisa.....kitu ilikuwa inatembea acha kabisa!

BWT: Mkuu Shapu.....hii mtambo dili kweli kny that project......so can do the needful umwone Kitomai!
 
Homeboy menikumbasha mbali sana......! nikiwa pre form one miaka hiyo, tulikuwa tunaenda na hii kitu kule Lupila/Sunji (kama upo), huko milima mzee acha kabisa.....kitu ilikuwa inatembea acha kabisa!!

Homeboy umenifanya nikumbuke mbali sana road ile ya maeneo ya Makoga,Mdasi kuja Igosi barabara ilivyo kuwa inachafuka mnakuja kumpunzika Kipengere pale kwa kupata msosi na vinywaji. Ila kimbembe ukitoka Kipengere kuingia sehemu moja inaitwa Ibubumila au Ludodolelo dah kwenda Mbalache ile milima mzee bila Landrover hupandi kabisaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom