Toyota ist mpya toka japan inauzwa kwa bei poa

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Rangi Cream White
Model 2002
Bei 12 million TZS

Angalia picha zake hapa chini ukiridhika

Wasiliana nasi kwa namba. 0713 531152
 

Attachments

  • IMG_0532.jpg
    IMG_0532.jpg
    164.6 KB · Views: 1,018
  • IMG_0528.jpg
    IMG_0528.jpg
    163.9 KB · Views: 1,148
  • IMG_0530.jpg
    IMG_0530.jpg
    151.4 KB · Views: 1,280
  • IMG_0529.jpg
    IMG_0529.jpg
    158.9 KB · Views: 1,206
  • IMG_0533.jpg
    IMG_0533.jpg
    215.6 KB · Views: 728
  • IMG_0531.jpg
    IMG_0531.jpg
    170 KB · Views: 846
Utakuwa umeelewa but only trying to be critic, If you got money talk business. Sawa kijana.Acha mbwembwe !
 
mkuu umesoma injini yake
usije wapa watu shipa..hii engine ya D4 kama Premio kwa mnaojua
premio D4 mtaielewa vizuri..tatizo la wajapan wanatuandikia awatuambii
kama gari hii ikoje tunaishaia kupenda ma bodi
 
12M ndo bei yake hii kitu na hvi dola imepanda basi balaa, nina rafiki yangu alinunua mwaka jana kwa 12M so to me the price is fair
 
mkuu umesoma injini yake
usije wapa watu shipa..hii engine ya D4 kama Premio kwa mnaojua
premio D4 mtaielewa vizuri..tatizo la wajapan wanatuandikia awatuambii
kama gari hii ikoje tunaishaia kupenda ma bodi

Kaka naomba ukate shule kdogo basi kuhusu PREMIO coz its my dream car.
 
Mkuu imechekiwa na shirika la mionzi,isije ikawa na mionzi ya nyukilia kaka kama ndio imetoka Ujep
 
Kaka naomba ukate shule kdogo basi kuhusu PREMIO coz its my dream car.
Premio D4 au OPA D4 zote ni kimeo. technical sijui ni kivipi lakini ukiwa na gari kama hiyo haiuziki labda ujiandae kubadili engine.
 
Pamoja na magari aina ya Pajero GDI na Subaru Forester ni vimeo, hayo magari yanasumbua sana, inabidi ujenge urafiki na fundi.
 
Back
Top Bottom