Toyota Fortuner 2007 mpaka 2010

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
14,320
25,061
Toyota Fortuner kuanzia 2007 mpaka 2010 ni rand 130,000 mpaka rand 180,000.
1004869660_1_644x461_toyota-fortuner-40-v6-epic-for-sale-vereeniging.jpg
 
Tsh 20,000,000 mpaka 28,000,000 milion kununua zinacheza bei hiyo kwa model hiyo...
Mkuu samahani.
Mtu akiwa na 15,000,000 anaweza pata BMW X3 ya arround 2007 na kuendelea? Yani hiyo hela ni pamoja na kodi na kila kitu hapa bongo.
 
Mkuu samahani.
Mtu akiwa na 15,000,000 anaweza pata BMW X3 ya arround 2007 na kuendelea? Yani hiyo hela ni pamoja na kodi na kila kitu hapa bongo.
Yard nyingi ipo around Tsh 9 million na kodi ni 6million mafuta na malipo boarder zote around milion iwepo ila ukiwa huna haraka unaweza pata ya 7million ambayo itafika around hiyo 15m au 16m ni 120i diesel au petrol automatic..
 
bavari sema kila jan,feb na march ya kila mwaka gari nyingi zinapungua bei hizi ndogo za kutembelea maana za ajali zinakua nyingi scrape yard kwa hiyo wanapunguza bei wanunue hizo walekebishe zikae yard tena hata mimi baadhi nanunua za kugongwa unapeleka yard ikiinyooshwa inatoka mpya maana SA vingi vinanunuliwa vipya halinyoshwi body lile lile tena..,
 
Okay. Kuna mtu nataka nimnunulie.
 
Yard nyingi ipo around Tsh 9 million na kodi ni 6million mafuta na malipo boarder zote around milion iwepo ila ukiwa huna haraka unaweza pata ya 7million ambayo itafika around hiyo 15m au 16m ni 120i diesel au petrol automatic..
mkuu plz naomba uni PM namba yako kuna ishu tuongee
 
Ugonjwa wangu ni BMW X5 au series 3...hii thread itakua useful kwangu acha niweke akiba ya maneno
 
Immortal Ford focus RS 2016 mpya zipo rand 700,000 sawa na tsh 112,000,000 million kwa change ya tsh 160 kea rand moja.used labda scrape ununue iliyogongwa ulekebishe ambayo itakua rand 250,000 mpaka 300,000 marekebisho utatumia rand 50,000 mpaka 80,000 inategemeana na ilivyoumia ukiitaka iliyo yard used itakua Rand 450,000 mpaka 500,000 inafanya vizuri sokoni bei itapungua mpaka mwaka ugeuke ni kama golf 7 au mercedes benz AMG 45.,,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom