Toyota Dyna 1997 For Sale

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Gari la mizigo inauzwa.
Imetengenezwa 1997.
Engine Capacity 2700cc
Tani. 2.5
Tatizo ni dogo, gari linahitaji Oil Pump tu.

Bei Tsh 5.2million Maelewano Yapo. Gari lipo Tegeta Kibaoni.. Piga simu ukiwa serious tu.......

Tuwasiliane Kupitia +255-718-913-806 email mbezi1980@yahoo.com

View attachment 59443
 
Hizi gari zinachemsha balaa! Sijui tatizo ni kwenye water reticulation nzima? maana utabadili kuanzia radiator hadi kufungua cylinder head bila madanikio!
 
haina ya hii gari ni nzuri sana. Inabeba kweli alafu ina roho ya paka. Nimekuwa nayo moja na iliweza kununua magari mengine manne ikiwemo canter, lenyewe bado ninalo linabeba ruti ya Njia panda hadi Himo

Kweli haya magari magumu sana. Yaani sana. hata siyo tulikuwa nalo moja la kubebea mazao kutoka shamba hii gari inajilipia lenyewe, alafu spea zake ni rahisi kuliko za canter. Ningekuwa na hela ningelinunua kwa sababu hela anayoomba muuzaji ni ya chini sana. Hii unatengeneza. hicho kifaa nadhani siyo hela nyingi kivile
 
kweli haya magari ni magumu balaa hasa kwa biashara
 
hela ndio sina. hii gari ningenunua kuwabebea mifugo yangu chakula kule kibaha. ni roho ya paka hii ni kama corolla vile
 
naomba kujua bei ya oilpump na nikiitaji uniletee hadi shinyanga itawezekana?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom