Toyota Crown Majesta

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,376
Hii gari naipenda saaana!! Ila ni adimu kidogo kuziona but katika kutafuta tafuta kwangu niliweza kuiona kwenye website moja inauzwa kwa dola 876 USD ni ya mwaka 1997 na imetembea km 100,000 in CC zaidi ya 1500.

Naombeni ufahamu wenu kuhusu gari kama hii maana nimeona ni rahisi sana na kila kitu wanasema kiko safi kabisa.

Je, nikiiingiza hapa nchini itaniumiza au ni sawa tu, sina ufahamu na mambo ya uagizaji kuhusu kodi na kila kitu.
 
Back
Top Bottom