Toyota Cresta Exceed G edition GX100.VVTi engine 2000yr,1980cc inauzwa.

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
Dar es Salaam-20120519-00102.jpg IMG-20120520-00113.jpg IMG-20120520-00116.jpg Dar es Salaam-20120519-00100.jpg

Toyota cresta 2001yr On sale.
Registered
with Comprehensive insurance and brand new Goodyear tires.
Low mileage 77838Km
with all the paper.
on sale for 11M.

please contact 0713 332019.

NOTE
Pia naagizia watu magari kutoka japan, gari aina yoyote kwa bei kidogo nafuu maana nina deal na makampui matatu makubwa yakijapan yanayo endesha minada ya used cars. Commission yangu ni dola USD 200 kwa kila transaction. (kwa kila gari moja)

Ili kuweka uwazi baina ya mimi na ninae muagizia utakuwa kwenye email loop zote za negotiation mpaka bei ya mwisho na utakwenda kulipia mwenyewe benki baada ya kupata invoice.(hii ni kwa uaminifu zaidi kwa wale wanaohofu kuwekewa cha juu).

My email Brayanmagari@gmail.com.
 
Kweli baba hicho kitu ni mang'anyu kabisa kwa wanaojua magari na bei za sasa.

Lakini ningeomba nijue imekaa nayo kwa muda gani toka uinunue na kama haina historia ya ajali mkuu.
 
Kaka mimi mwenyewe siitumii huwa naleta nasajili nafanya kila kitu then nauza so sasahivi iko uwani imepaki hakuna kilichoguswa. Ukiangalia number CAA ni kama week ya tatuu hii toka zimetoka.Karibu

Kweli baba hicho kitu ni mang'anyu kabisa kwa wanaojua magari na bei za sasa.

Lakini ningeomba nijue imekaa nayo kwa muda gani toka uinunue na kama haina historia ya ajali mkuu.
 
Asante Kaka Tunapambana. Karibu.

Toka nianze kusoma matangazo hapa JF hili la kwako lipo smart sana na limekaa kisasa.. Few words but well described.. Hongera na nakuombea upate mteja wa maana!
 
Mkuu bei zake skuizi hazifai jaribu kucheki huku na kule halafu utaniambia, kumbuka ya mwaka 2001 unalipa extra tax of 20% for more than ten years(dumping fee) Kodi peke yake ni 4,075,436TSHS. haya fanya mambo mwenyewe hapo.

Bei kubwa ilaa namba inakubeba all the best
 
Kuna wanaonipigia simu na kuuliza kama inatumika sasa au imetumika muda gani?

hii haijatumika kabisa zaidi ya carwash na kurudi uwani huwa naagiza nafanya kila kitu na kuuza kwahiyo ni mpya na hata sasa imepaki nyumbani.
 
Mkuu mim nahitaji body yake vip ? Tunaweza ongea biashara?
Kama yes ni PM mkuu
 
Toka nianze kusoma matangazo hapa JF hili la kwako lipo smart sana na limekaa kisasa.. Few words but well described.. Hongera na nakuombea upate mteja wa maana!

Mi Namjua Sungusia Ni Jembe huwa hana ubabaishaji. Hapo kitu cha uhakika na bei ni fair kabisa. Kama mtu anabisha anende show room za wadosi asikilizie na zinakuwa zimeshachakachuliwa.

Big up mkuu tupo pamoja
 
Kaka longtime vipi lakini? ile ngoma yetu inaendeleaje? are u still enjoying it?

Mi Namjua Sungusia Ni Jembe huwa hana ubabaishaji. Hapo kitu cha uhakika na bei ni fair kabisa. Kama mtu anabisha anende show room za wadosi asikilizie na zinakuwa zimeshachakachuliwa.

Big up mkuu tupo pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom