Toyota Corrola 4.7Million/ 1331 cc/white

wabongo wengi hamnazo kabisa! huwa sielewi. hivi itakuwaje mtu kama huyu akiletewa mkataba ofisini, anaweza kuusoma kweli? Hata kama ukilaza huu wako umezidi, mweee!

dah kaka usimkalipie ivo anaweza kuwa mlemavu wa macho.
 
Asante mkuu Umkh.........
,umenifurahisha mimi si muuza magari ndg yangu wala sina utaalamu. utakachoniuliza nitakujibu kama nakijua. Utaalamu wa kuweka picha sinao ingawa nazo ukiweka utagombana bure na baadhi ya wateja ,nimejitolea kama litakuwa halijanunuliwa nilikuletee ufanye phyiscal analyisis,kama hauko Dar nitashindwa mkuu.
Mbona mengine nimeyajibu na bado unayauliza?Mwaka 1995,soma kwa waliouliza hapo juu pia.
Mimi mengine siyajui ukiniuliza history ya gari inapatikana wapi, sijui maana mim nililinua kwa kampuni Japan, hawakunipa history sasa niitoe wapi-ndio maana mengine yananishinda ndg yangu.
Kama wewe ni mteja mtalajiwa nieleza niikuletee uione -hamna commitment!
Asante ndg.

Jamani wabongo wenzangu tujifunzeni kuwa serious na biashara. Yaani kweli unaweka tangazo la kuuza gari bila information za kutosha kuhusu bidhaa yako?
Hakuna mwaka wa kutengenezwa!
Hakuna mileage!
Hakuna transmission info!
Hakuna history ya umiliki!
Hakuna picha!

Mkuu, you better be serious.
 
Asante mkuu Umkh.........
,umenifurahisha mimi si muuza magari ndg yangu wala sina utaalamu. utakachoniuliza nitakujibu kama nakijua. Utaalamu wa kuweka picha sinao ingawa nazo ukiweka utagombana bure na baadhi ya wateja ,nimejitolea kama litakuwa halijanunuliwa nilikuletee ufanye phyiscal analyisis,kama hauko Dar nitashindwa mkuu.
Mbona mengine nimeyajibu na bado unayauliza?Mwaka 1995,soma kwa waliouliza hapo juu pia.
Mimi mengine siyajui ukiniuliza history ya gari inapatikana wapi, sijui maana mim nililinua kwa kampuni Japan, hawakunipa history sasa niitoe wapi-ndio maana mengine yananishinda ndg yangu.
Kama wewe ni mteja mtalajiwa nieleza niikuletee uione -hamna commitment!
Asante ndg.

Wewe sasa unatuyeyusha.
Yaani kujua kama ni auto au manual hujui?
Limetembea kilometre ngapi nayo hujui?
Kama umelinunua Japan, kwa hapa bongo wewe ndio mmiliki wa kwanza, nayo inahitaji mtaalamu mkuu?
Mambo mengine sio ya kitaalamu mkuu, labda kama hutaki tu watu wayajue.
 
Unajua ndugu yangu Shark,kila mtu na uwelewa wake,hivyo tafadhali bear with me.
Haya yako yote kwa mfano ni mapya
Nisamehe kama nimekuyeyusha/kukukwaza lakini nikuyeyushe ili nisiuze au faida yake ni nini.
Kuna mtu kwa mfano aliuliza"What about Transimission? Manual or Auto?"
Nikatafuta mpaka kwenye dictionary sikuona alitaka kumaanisha nini,ningejibuje?
Back to biz.
Wewe sasa unatuyeyusha.
Yaani kujua kama ni auto au manual hujui?

Limetembea kilometre ngapi nayo hujui?-119,000Km.

Kama umelinunua Japan, kwa hapa bongo wewe ndio mmiliki wa kwanza-Kwa hapa TZ Ni mmiliki wa kwanza.
Nilipopata kigugumizi nilipoulizwa mmiliki wa kwanza ,ningesema Mjapan????Si bora nikubali kushindwa??@

nayo inahitaji mtaalamu mkuu?
Mambo mengine sio ya kitaalamu mkuu, labda kama hutaki tu watu wayajue.
All in all gari uzuri wake ni kuliona na kulitest.
Cheers!
 
Back
Top Bottom