Toyota Corona Exiv inauzwa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
ni manual car ya 1995 bado ina nguvu zakutosha.

ina engine ya Rav 4 ambayo ni 3S.

ni Petrol na CC 1880.

black colour tinted.

4doors;power window;rind handside wheel;

imetembea 188890km mpaka sasa.

ina sports rims with good tyres;spare tyre;jek.

Air condition iko mpya kabisa with Rav 4 compressor.

radio music with nice speakers.

picha nitaweka baadae nimeshindwa kuapload...bei ni 6.5m haishuki kwakweli.
 
Corona Exiv halafu ina engine ya RA4? Bei 6.5ml haishuki!!! Pamoja na kuipamba sana lakini bei ni ya juu na unahitaji kutoa maelezo kwa nini ulibadili engine na kama kubadili engine huko kuwekuwa reflected kwenye kadi.
 
hiyo engine mkuu ilikuja nayo na ipo kwenye kadi pia....haikubadilishwa....sijapamba mkuu ndio ukweli halisi..nauza kwa matatzo yangu binafsi.karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom