Toyota Corolla 110 inahitajika.

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Aug 11, 2010
237
25
Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa walio serious pekee.
Thanks
 
Back
Top Bottom