toyota cami inauzwa

merchant123

Member
Apr 15, 2012
6
0
Toyota cami iliyo katika hali nzuri imetumika kwa muda wa mwaka mmoja kwa maelezo zaidi piga simu namba0717469406
 
ya mwaka gani, ukisema muda kidogo unamaanisha ni ilikuwa brand new ulipoanza kuitumia au? picha wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom