SUNGUSIA
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 232
- 16
- Thread starter
- #21
sungusia naona mambo saafi kabisa kama kawaida...wape vijana vitu vikali kwa bei afordable kama hivi.
kaka vipi salam??? Habari ya pande zile sikuskii mzee upo mkuu?? Ile ngoma yetu hatubadilishi au bado unaenjoy mambo mazuri??? Tutafutane bana.
Waambie vijana mambo mazuri yapo wao tuu.