Tovuti za pono na madhara yake kwa vijana

Madhara ni makubwa mno, maana hata staili zinazotumika huko na uchafu mwingine mwingi ambao watanzania wengi tunapenda kucopy kutoka kwenye hizo website na hiyo mikanda, siyo real. Wenzetu wanautaalum wa kutosha wa kuchezesha picha na ikaonekana kana kwamba kuna tendo fulani linafanyika kumbe ni picha tu zimetengenezwa, wakati sisi watz tukiona tunafikiri huo ndiyo ufundi, matokea tunacopy na kufanya mambo ya ajabu na aibu kabisa ktk jamii tukidhani ni maendeleo au ujanja, ujinga mtupu!

Kwa kweli tunahitaji kubadilika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom