Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi mlitembelea link nakukuta message ya kwamba "4 days left to take on a new look"

Leo baada ya siku 4 nimetembelea tena hii tovuti www.auctionmart.co.tz nakukuta kweli imeaanza. Nimeona ni kitu ambacho kweli kiki endelezwa kinaweza kikawa na manufaa kwa Wantazania.

Nitaendelea kubofya nikitafuta teknoligia nyingine za biashara na kuziwasilisha kwenye hili jukwaa ili wote tujadiri tuone ni namna gani zita weza saidia biashara hapa nchini

Wenu ktk kujenga Taifa
Safi sana
Bonge la stepu, Nahitaji kujua usalama wa mnunuzi na policy au agreement yoyote kama mnayo ya Muuzaji , na wajibu wa muuzaji kwa mnunuzi!

I promiss mimi nitakuwa hapo, Safi sana!
 
Asante Sana robietz kwa support yako. I recognise your support and thanks a lot to everyone in this forum, Many thanks coz I've read through it and to be honest I've learned a lot. Well Labda nijitambulishe, mimi ni webmaster wa www.auctionmart.co.tz na ninayo furaha kubwa sana kua hapa nakupata changamoto mbali mbali ambazo naamini zita saidia kwa kiasi kikubwa kuiboresha tovuti yetu pale penye mapungufu.
Labda nianze nakujibu swari lako EMT la "how do you verify sellers?"
Well the seller must follow the instructions provided on our site through this link Become Verified(Please click to visit for more information). Once we've receive a request from the seller needing to be verified we visit them to verify their locations and business after which we list them in our Verified Seller's section and thereby guarantee what they list with regard to the agreement that we get in with them

Mkuu, nikitembelea hiyo website yenu page kufunguka naweza kwenda bafuni kuoga mpaka namaliza bado inaload!! Pia haivutii kabisa machoni. Mjitahidi kutafuta wauzaji na bidhaa nyingi zaidi (site bado ni changa, hawawezi kuja wenyewe). Always MWANZO MGUMU
 
We kweli Amoeba....hata kumpa moyo jamaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Teh Teh! Hata sifa zinaweza kuwa upande wa negative mkuu, hizo ndy changamoto!! Jamaa naona hawaoneshi mnada wa bidhaa unaisha lini....ngoma inaenda tuuuu mpaka muuzaji aridhike!!!! teh teh. Anyway bigup kwao: kwa kuthubutu!
 
wamejitahidi sana.. ingekuwa vizuri wangetumia Tshs! na si $
 
Safi sana
Bonge la stepu, Nahitaji kujua usalama wa mnunuzi na policy au agreement yoyote kama mnayo ya Muuzaji , na wajibu wa muuzaji kwa mnunuzi!

I promiss mimi nitakuwa hapo, Safi sana!

Asante sana Mr Sekulu. Well kuhusu usalama wa mnunuzi naomba utembelee hizi links Buyer Protection Programme na Claim Process na kuhusu Muuzaji anatakiwa akubaliane na Verified Seller Agreement(click here to view) na kuna indemnity form (click here to view) ambayo anatakiwa ajaze then aitume where after tutatembelea location yake na ku verify the information and location
 
Well Amoeba thanks pia kwa maoni yako.. I beleive utakua ume experience something different and this is what we are trying to sort out before we get even bigger ndo maana nimekua so impressed na hii conversion bcoz nimejifunza mengi ambayo pia nimesha ya fanyia kazi. Uwezi kua 100% perfect even our pioneers wamepitia uko. Well kwanza ningependa kujua ni version gani ya browser na os and gani unatumia na resolution ya hiyo computer yako? Nimefanya case study ya different browsers nika gundua version za nyuma zina kua na resolution problem which am currently working on so that site ifanye auto detect na ku adjust with regard to your computer resolution just like ambavyo nimefanya for users accessing the site via handheld devices. Kuhusu loading ya site ina depend na connection speed ya internet yako. Am pretty sure kuna site nyingine pia zina load slow ukifungua. Na kama kweli umetembelea site and you being positive I think usinge sema "Jamaa naona hawaoneshi mnada wa bidhaa unaisha lini....ngoma inaenda tuuuu mpaka muuzaji aridhike!!!!" coz its not true and its clear starting from the main page mpaka ukifungua in detail unaona kabisa when unaanza na kuisha. Please if you have not visited the site do so or if you have then re-visit with the aim of helping incase you intend to do so
 
wamejitahidi sana.. ingekuwa vizuri wangetumia Tshs! na si $
Thanks a lot kaka.. Well tulifikiria the same thing lakini tumeona its better to use $ since ni internation currency and since tupo kwenye world wide web, watu wengi from different parts wana access the site na wanajua value ya $ currency and also tuna mpango wa grow wider with regard to the East African community thus tutawezesha hata Waganda, Rwandese etc... ku participate
 
Thanks a lot webmaster for passing by and am happy to realise it has had some influence
 
www.auctiomart.co.tz is pleased to introduce to you the Sell or Bid Now application. With this app you are able to sell, bid or buy right away on facebook without leaving your facebook account. Click here to try it out now.
 
Hebu lets take break na tuwasupport watanzania wanapojaribu kufanya jambo zuri,mbona watu wanaroho za kutu na za kwa nini? Lets support them bana

Sasa mirindimo unataka kuleta yale mambo ya YES SIR :eyebrows:!........kumbuka hii ni biashara na mteja anataka kuhakikisha pesa anayolipa sio kiini macho! Kwa mtazamo wangu kutokana na jinsi watu wanavyochangia ni kwamba wako interested na ni jukumu lake kuwahakikishia kwamba security ipo. Chukua hii changamoto ya maswali unayoulizwa hapa na uweke page ya FAQ kwenye website yenu!

Best wishes
 
Hebu lets take break na tuwasupport watanzania wanapojaribu kufanya jambo zuri,mbona watu wanaroho za kutu na za kwa nini? Lets support them bana
mkuu lazima una matatizo

post zote hapo juu zimeonyesha wazi kwamba zina lengo la kujenga, kila aliyeuliza ameonyesha interest na anachotaka ni security ya investment yake; kuhoji security ayko ni roho mbaya??

Just learn to appreciate wenye exposure zaidi... binafsi nimejifunza from contributors and the best part of it ni kwamba it can be done, jamaa wamekuja na kurespond positively to advice

I AM SURE WE WILL BE ABLE TO ASCERTAIN SECURITY YA PESA NA NINYI MTAKUA MME-INSURE HIYO BUSINESS PREMIUM MAANA WATANZANIA HAWAKAWII HATA KULETA VYA WIZI NA KUWALETEA MATATIZO

I AM ALSO HOPING KWAMBA MNA VERY ADVANCED LEGAL ADVISORY SYSTEM
 
Sasa mirindimo unataka kuleta yale mambo ya YES SIR :eyebrows:!........kumbuka hii ni biashara na mteja anataka kuhakikisha pesa anayolipa sio kiini macho! Kwa mtazamo wangu kutokana na jinsi watu wanavyochangia ni kwamba wako interested na ni jukumu lake kuwahakikishia kwamba security ipo. Chukua hii changamoto ya maswali unayoulizwa hapa na uweke page ya FAQ kwenye website yenu!

Best wishes

Thanks a lot mkuu.. Nimependa suggestion yako about FAQ, once I have compiled it, I will let you know. Ahsante Sana
 
Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi mlitembelea link nakukuta message ya kwamba "4 days left to take on a new look"

Leo baada ya siku 4 nimetembelea tena hii tovuti www.auctionmart.co.tz nakukuta kweli imeaanza. Nimeona ni kitu ambacho kweli kiki endelezwa kinaweza kikawa na manufaa kwa Wantazania.

Nitaendelea kubofya nikitafuta teknoligia nyingine za biashara na kuziwasilisha kwenye hili jukwaa ili wote tujadiri tuone ni namna gani zita weza saidia biashara hapa nchini

Wenu ktk kujenga Taifa
Nyinyi watu mngewekeza vya kutosha na mkafanya research za kutosha mkawa na vitu ambavyo ninaweza kununua bila hata kwa kwenda dukani na mkanihakikishia usalama sio tu MNAKURUPUKA kisa na wewe unataka kuwa mjasiriamali mfano mnauzaa nguo ninunue nguo hapa wakati nikienda big brother, sinza, na kariakoo ninapata kila nguo na ninaweza kulalamika wanipunguzie bei , naona mnauza magari hahahhahaha ngoja nicheke kinafki ...

Kuna ma showroom kama utitiri yako hapa tz na wana website zao eti ninunue gari action mart..well next time mkitaka kuanzisha e commerce jaribuni kwanza kuomba ushauri sio tu umelala umeota unataka uwe kama ebay na wewe unakurupuka hata mswaki hujapiga then wasema naanzisha e commerce...

u.s.a e commerce iko very successful coz kila sehemu kuna address kwamba mimi hata nikiagiza kitu ebay wananifanyia home delivery hata uk, germany, finland na india sasa hapa tanzania kwetu mimi naishi tandale kwa mtogole mtaniletea home delivery na hiyo ndio inayofanya e commerce nyingi zifanikiwe ni HOME DELIVERY sasa wenzangu na mie anyway GOODLUCK but honestly this it AINT WORK..........

Nyinyi watu mngewekeza vya kutosha na mkafanya research za kutosha mkawa na vitu ambavyo ninaweza kununua bila hata kwa kwenda dukani na mkanihakikishia usalama sio tu MNAKURUPUKA kisa na wewe unataka kuwa mjasiriamali mfano mnauzaa nguo ninunue nguo hapa wakati nikienda big brother, sinza, na kariakoo ninapata kila nguo na ninaweza kulalamika wanipunguzie bei , naona mnauza magari hahahhahaha ngoja nicheke kinafki ...

Kuna ma showroom kama utitiri yako hapa tz na wana website zao eti ninunue gari action mart..
well next time mkitaka kuanzisha e commerce jaribuni kwanza kuomba ushauri sio tu umelala umeota unataka uwe kama ebay na wewe unakurupuka hata mswaki hujapiga then wasema naanzisha e commerce...

u.s.a e commerce iko very successful coz kila sehemu kuna address kwamba mimi hata nikiagiza kitu ebay wananifanyia home delivery hata uk, germany, finland na india sasa hapa tanzania kwetu mimi naishi tandale kwa mtogole mtaniletea home delivery na hiyo ndio inayofanya e commerce nyingi zifanikiwe ni HOME DELIVERY sasa wenzangu na mie anyway GOODLUCK but honestly this it AINT WORK..........

Hivi kwanini waTanzania tupo negative sana? watu wa aina ya C.T.U ndio wanaokwamisha maendeleo ya wenzao na nchi kwa ujumla.

Yaani kwa vile mtu unaweza kwenda dukani ukalia ili upunguziwe bei haimaniishi kuwa mnada wa nguo kwenye mtandao hauwezi kuwa successful. Mbona e-bay na amazon wanauza nguo wakati kuna maduka mengi tu unaweza kupata nguo kwa bei ya chini kuliko wao?

The same goes with cars. Huku ulaya kuna showroom na website za kumwaga za both new and used cars lakini bado e-bay wanauza magari na kwa mafanikio makubwa tu.

Hawa wenzetu wamejaribu kutuonesha njia hivyo inabidi tuwape moyo na kujaribu kuwapa ushauri wa namna ya kuboresha website yao. Wapo waliosema kuwa website haivutii, which is true. This is the kind of "constructive" criticism inayotakiwa na siyo kuponda tu!

Guys! Congrats on what you have achieved so far. Bado mnasafari ndefu ila mwanzo mzuri. Hakikisheni kuwa mnazingatia ushauri unaotolewa humu ila usahuri wa C.T.U mnaweza kuutia "kapuni"
 
umeshasema ebay na amazon hiyo ni matandao ambayo inamilikiwa na watu ambao wako very serious kumbuka ebay walikuwa na capital ya ukweli walipata 6 million funds ndio maana wakahit siku zote biashara inataka market na katika market inatakiwa kuwe na uaminifu wa custormer kwa wauzaji nafikiri kukaa kwako ulaya kumekufanya usahau kuwa bongo kuna utapeli wa kila namna ebay na amazon ni kampuni zinazojulikana worldwide sasa mimi ndio mara yangu ya kwanza naisikia huu mtandao siwezi kuweka 8 mil zangu katika risk nifanye nao biashara ya kununua gari ziwezi weka 40,000 katika risk kisa nanunua nguo mtandaoni siwezi weka usd 150 yangu ninunue simu hapa wakati najua kuna sapna ngoja tuone inavyokuwa but the thing ambacho umeshindwa kuelewa hapa ni kwamba katika kila biasharaka kuna barabara au channel ambayo inaweza kuifanya hiyo biashara ipite sasa tatizo ni kwamba hapa tz hamna channel ya kuruhusu biashara ya e commerce wewe mpe moyo but fact is a fact this business haiwezi kuwa successful hapa bongo mifumo yetu ya kibenki, mifumo yetu ya residential areas, fraud ambao uko mitandaoni je wajua kuwa AMAZON hawafanyi TANZANIA kwa sababu ya fraud au hujui hilo??? ni kuwa katika nchi za Africa kuna Nigeria ,Somalia na Tanzania ikiwemo ni kuwa Amazon hawataki kufanya access ya ununuzi na uuzaji vitu katika hilo na kama watu wameweza kufanya fraud katika mitandao kama AMAZON kwa hapa Tanzania mpaka wenyewe kusitisha huduma hapa watashindwa kwa hiki kijimtandao uchwara??? mimi ninawatahadhalisha tu kuweni very careful coz pindi mtu akitapeliwa mamilioni yake akawa sue mtaweza kumlipa? je mna proffesional programmers wa kuzuia hii kitu ndio maana nawaambia hii mlifikiria mkiwa hamjapika hata mswaki mmekurupuka tu na kufungua kuji laptop chako na kulipia domain watanzania bwana
 
Back
Top Bottom