Tovuti Tume ya Taifa ya Uchaguzi inahujumiwa?

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
705
440
Ni kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuingia kwenye Tovuti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lakini imekuwa
haipatikani (Zero blank page).

http://www.nec.go.tz

Pamoja na hayo, Serikali imeendelea kuwa kimya bila kueleza chochote kuhusu Tovuti hii. Ikumbukwe kuwa Tovuti ya NEC ndiyo tovuti pekee ambapo unaweza kupata matokeo Rasmi ya Chaguzi zote.

Kama kuna sehemu naweza kupata matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 naomba mnisaidie tafadhali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom