Tovuti Mpya

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Habari zenu wana JF, leo nimeona kimewekwa kiungo (Link) ya tovuti inayokwenda kwa jina la Fkra Pevu. Swali langu ni... Je nayo hii ni sehemu ya JF au ni tovuti inayojitegemea ila wameomba wawekewe link tu hapa?
 
changia hoja acha kuchagua jembe ww c mkulima
Mkuu tumaini letu,
Umenifurahisha sana..Umenikumbusha wale wabunge wa CCM wanaopiga usingizi bungeni,huamshwa na kelele za makofi wanayopiga wabunge wenzao..na wao wanapotoka usingizini bila kujua nini kimesemwa , hujiunga katika kupiga makofi au kugonga meza au viti kuongeza kelele tu.

Usingizi ukikutoka, soma tena mada..mkuu X-paster anauliza suali,hachangii mada.
Msaidie jibu kama unalo.
 
Habari zenu wana JF, leo nimeona kimewekwa kiungo (Link) ya tovuti inayokwenda kwa jina la Fkra Pevu. Swali langu ni... Je nayo hii ni sehemu ya JF au ni tovuti inayojitegemea ila wameomba wawekewe link tu hapa?

Mkuu X-PASTER, Naomba nikujibu kwa kifupi. Ni kwamba, tovuti ya FikraPevu iliyowekewa kiunganishi ndani ya JF inauhusiana na JF. Ila habari zinazowekwa kule zinajitegemea na ni habari zilizohaririwa. Lakini kama zilivyo habari nyingine kutoka/kwenye vyombo mbalimbali; habari za FikraPevu nazo zaweza kuwa na chanzo chake hapa JF, vilevile FikraPevu yaweza kuwa chanzo cha mjadala wenye kupata majadiliano marefu zaidi hapa JF. Tembelea, jisomee, julisha, eneza habari, usihofu.
Shukrani Mkuu.
 
Sawa mkuu ila nako uko kwenye Fikra Pevu nimeona kuna swala la kujiunga.

Anyway nitakuwa napitoa pitia siku moja moja.

Shukrani mkuu kwa taarifa.
 
huyu ana siku mbili tu humu lakini bwana
kisha halisha sehemu kibao, sijamuona akialisha jukwaa la wakubwa tu, nahisi huko anavaa nepi au mikono inakuwa busy na mambo ya kikumbwa
kama keyboard zingekuwa zinapiga ngumu kila ukiandika pumba nadhani wewe ungekuwa kibogoyo.
MATONYA WA FIKRA WEWE.
changia hoja acha kuchagua jembe ww c mkulima
 
huyu ana siku mbili tu humu lakini bwana
kisha halisha sehemu kibao, sijamuona akialisha jukwaa la wakubwa tu, nahisi huko anavaa nepi au mikono inakuwa busy na mambo ya kikumbwa
kama keyboard zingekuwa zinapiga ngumu kila ukiandika pumba nadhani wewe ungekuwa kibogoyo.
MATONYA WA FIKRA WEWE.
Inawezekana ni mwenyeji sana huyo, sasa anataka kuonyesha jinsi alivyo.
 
Back
Top Bottom