Tourist sentenced for molesting over 50 Ugandan girls

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
Not one or two, but more than 50 girls below 10 years were sexually abused by a tourist, who also took their photographs, recorded them on video and uploaded the image on the internet.

Emin Baro, 53, a teacher from Turkey, was on Monday sentenced to two years in jail or a fine of Shs6 million by the Grade One Magistrate Court in Nakawa.

Baro, who entered the country as a tourist six years ago, pleaded guilty to computer misuse and possessing child pornographic materials.

Grade One Magistrate Rosemary Bareebe in her judgement said: “You have pleaded guilty and for this reason I will be lenient. The activity you involved in is condemned in our society and it is not acceptable.’’

Baro, however, failed to pay the fine and was taken to Luzira Maximum Security Prison to serve his sentence.
The convict, who abused girls in Masaka, Kampala and Jinja districts, often paid between Shs2,000 and Shs5,000 to each girl.



Baro, it is alleged, was selling the material to different websites but because he was quick to plead guilty, prosecution was not able to get details of his business.
 
@ Gaijin unatuangamiza sio kidogo, hebu angalia hiyo pesa alokuwa anawalipa hao mabinti afu ulinganishe na hicho alichokuwa anawafanyia, mbaya sana.
 
@ Gaijin unatuangamiza sio kidogo, hebu angalia hiyo pesa alokuwa anawalipa hao mabinti afu ulinganishe na hicho alichokuwa anawafanyia, mbaya sana.

Mbaya zaidi ni kuwa watoto wa umri wa chini ya miaka 10, tena 50 kwa jumla yao, wanafikia kufanyiwa haya, bila ya wazazi na jamii kujua kwa haraka
 
Hivi adhabu yake ni kufungwa au kunyongwa? I hate this..mimi ningekuwa hapo mahakama ningepata kesi maana ningeuua aisee aagh
 
Inasikitisha,inatilisha hasira na inachefua roho.Why!!! 50 childrens 10under huh!! Kama ingelikuwa ni sharia law basi ni kifo tu hakuna kujitetea.I can imagine watoto 50 halafu ni mtalii sasa kwani watalii wanakaaga muda gani mpaka ameweza kuwaharibu watoto 50 na kingine kinacho niudhi ni kwamba waafrika hupenda sana kuwaachia watoto nje hovyo bila ya kujua mtoto yupo wapi.Dunia imeharibika sana watu roho zetu zimekuwa za ubinafsi kwani hakuna wakumuamini hata ndani ya familia pia wanatokea waharibifu wa watoto.
 
Back
Top Bottom