Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Km una water pump ina maana una kisima si ndio? Gharama ya ziada tu itakuwa sehemu ya kuhifadhia maji. Matanki yatahitajika

ndio ninakisima je cntaweza kuyapandish shambani moja kwa moja mkuu bila matank ya kuhifadhia
 
Habari za asubuhi.

Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.




0758 308193


Tafadhali nifahamishe ni waterpump ya hp ngapi inayofaa kusukuma maji ya inchi moja na itazungusha sprinkler ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu....Biashara2000 ...nashkur sana kwa kutufumbua macho ..ila nilikua nataka kuuliza mbegu aina gani ambayo unatumia
 
nashukuru

nimevutiwa sana na kilimo hicho,nami nataka nilime nyanya hizo mwezi november mkoani njombe,je ni aina gani ya mbegu unayotumia,inastahimili magonjwa ikilimwa msimu wa mvua nyingi?.utatumia gharama na faida itakuwa kiasi gani mpaka mwisho wa mavuno kwa ekari moja ya nyanya ? Na pia kama mtu akikuhitaji kwa mafunzo au ushauri utamchaji shilingi ngapi? Asante.
 
Samahani ningependa kufahamu kwenye green house mvua ikinyesha maji yanaweza kuingia au ntahitajika kumwagilia?
 
Kuna watu ambao wako mikoani na hawana email ambayo ninaweza watumia kitabu changu ila wanataka kujifunza haya mambo ili na wao waweze kuanzisha biashara hii. Wanaweza lipia na kupewa mafunzo haya hatua kwa hatua kwa njia ya simu. Weka mafuta kwenye simu tuongee
 
Jana nilikuwa naongea na watu fulani baada ya kuwapa mafunzo haya na ikaibuka hoja nzito kuwa baadhi ya watu tz wanakiogopa kilimo hiki, infact kilimo cha kisasa kwa ujumla kwa kuwa kinachukuliwa ni kazi inayolipa ila ni kwa ajili ya kikundi cha watu wachache wanaojiamini na kuamua kuingia kwenye kilimo hicho ambapo watu waliobaki wanaogopa. Hii inafanya idadi ya wanaofanya kilimo cha kisasa kuwa wachache.

Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa kushindwa kufanya maamuzi kwa watu kunawafanya miaka nenda rudi watu wawe pale pale wakati wangeamua kufanaya maamuzi leo hii ili kwamba miaka miwili mbele wajikute wako hatua mbele in development
 
Katika kuongezea nilichokuwa nikikiongelea hapo juu, ni vizuri kujitahidi kadri uwezavyo kupambana na kinachokuzuia wewe kufanikiwa katika maisha yako. Usipofanya hivyo maisha yataendelea kubaki pale pale na hicho ni kitu ambacho watu wengi hawapendi kiwapate.

Ningekushauri ufanye uamuzi wa kuondoa umaskini katika maisha yako sasa na kuamua kuwa katika kuindi la watu walioamua kufanya kilimo cha kisasa. Hiyo itakufanya uwe na Amani, utulivu na kuwa na uhakika wa maisha yako kifedha.
 
Unaweza pandisha moja kwa moja shambani ukipata mafunzo yangu utaona jinsi wanavyopandisha maji

nina shamba robo heka, lipo kasulu, ni kwenye makazi ya watu. ninawezaje kuanzisha greenhouse?

1. nahitaji kujua gharama ya kisima bomba kabisa
2. nahitaji kujua gharama za ujenzi wa greenhouse hadi kuwa tayari kwa kilimo mfano m15*30 ukubwa wa shamba.
3. makadirio ya mavuno kwa msimu ni kiasi gani
 
Habari za asubuhi.

Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.




0758 308193


December nitakutembelea nikitokea kasulu. nikupate wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom