Tottenham Hotspurs Thread

_47172963_beckford_getty766.jpg



Watemi wa Manure wakiwaliza Spurs
 
...shedafa upo? nakusalimia tu ndugu yangu.
Naangalia televisheni hapa,

Spurs 1 - 1 Leeds United
(FA Cup)











0
 
the only team i like in london ni SPURS,i do watch their games whenever i get a chance.
Safi sana!
Watu waliitabiria mabaya wee, mpaka sasa wamenyamaza kimya. Najua kimoyomoyo bado wanaitabiria mabaya, walisema hatufiki mwezi wa 10, wakasema 12 na sasa tupo March bado ni washindani. Napenda niwakumbushe wanajamvi kuwa SPURS tuna dhamira ya kuwa 4 bora, niliwaambia mapema ligi inaanza na sasa inaelekea mwisho narudia.
 
COME ON SPURSSSSSSSSSSSSSSS..............we've done u a favour by beating man city,now its your turn beat the arrogant CHELSEA......................
 
COME ON SPURSSSSSSSSSSSSSSS..............we've done u a favour by beating man city,now its your turn beat the arrogant CHELSEA......................

...kwakweli, hata mimi leo nawaombea dua Spuds! Wafungeni Chelsea!!!
 
Back
Top Bottom