Tottenham Hotspurs Thread

Kinachonishangaza ni mdau mwenzetu kushabikia Totenham,naona kama sinema vile mtu kushabikia Cosmo!
 
Kinachonishangaza ni mdau mwenzetu kushabikia Totenham,naona kama sinema vile mtu kushabikia Cosmo!
Du, mkuu Spurs ni kama Cosmo!, anyway sikulaumu. Ushabiki mwingi wa mpira wa EPL hapa Tz umeanza hivi karibuni ndio maana, lakini ungechukua hata jitihada kidogo kujua historia inasemaje juu vilabu vya ligi kuu England. Kwa kawaida hivi vilabu huwa vina tabia ya kupanda na kushuka, huwezi kuamini nikikwambia kuwa klabu unayoipenda wewe ilikuwa si lolote hapo miaka ya 80 tu. Spurs nayo ilikuwa na kipindi chake cha kujidai, hapa tunazungumzia kurudi kwa nyakati zile za Spurs kutesa.
 
ebwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa heshima zenu spurs simchezo leo.i salute guys na mnaweza kurudi kuendelea kupost comments manake nimeenda kutoa thread yenu pg ya 2.defoe nomaaa.

9-1 simchezo
 
ebwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa heshima zenu spurs simchezo leo.i salute guys na mnaweza kurudi kuendelea kupost comments manake nimeenda kutoa thread yenu pg ya 2.defoe nomaaa.

9-1 simchezo
Asante sana mkuu pamoja wengine kuanza kutambua kuwa Spurs mean business!.
 
Wigan players set to refund fans

_46787519_defoe.jpg
Defoe scores his second goal during Spurs' 9-1 win

Wigan's players are to personally refund Latics fans who bought tickets at the DW Stadium for the 9-1 hammering at Tottenham on Sunday. Wigan took a large following to White Hart Lane for the defeat, the second heaviest in Premier League history.
"We feel that as a group of players we badly let down our supporters yesterday," said Wigan captain Mario Melchiot via the official club website.
"This is a gesture we have to make and pay them back for their loyalty."
Wigan are the first team to concede nine goals in a Premier League match since Manchester United beat Ipswich 9-0 at Old Trafford in 1995.
The Latics have conceded 13 goals in their previous two matches and now sit only three places and three points above the relegation zone with a goal difference of -17.
o.gif
606: DEBATE

These results come along every now and again, it happens, it's just not nice when it's your turn

dependabledennis

"There is not a lot else to say, just that as a group of professionals we were embarrassed by the way we performed, we feel it was below our standards and this (the refund) is something we feel we owe to the fans," admitted Melchiot.
"Now we have to draw a line under the game, focus completely on training this week and bounce back on Saturday.
"We are professionals, we will take it on the chin and move on but it's important that we do not take our supporters for granted."
Striker Jermain Defoe did most of the damage for Spurs, scoring five goals in the club's highest top-flight win.
Peter Crouch, Aaron Lennon and Niko Krancjar also scored and the unfortunate Wigan keeper Chris Kirkland scored an own goal.
Paul Scharner scored the Latics' goal.
The club has confirmed that every supporter who bought a ticket from the DW Stadium for the game on Saturday should contact the ticket office and a full refund will be offered to them.
Refunds must be claimed on or before Friday 4th December 2009.
"The players have asked me not to release details of the amount [they will be repaying] but they wanted to make the gesture," Wigan's head of media and publications Ed Jones told BBC Radio 5 live.
"Maybe it would have been different if it was a home game," he admitted.
"It was a shock to the system, they're professionals and they've been through a bit of a humiliation.
"The club is a small, family-run institution, we're all in it together and it has not been pleasant."
Wigan return to action when they host Sunderland this weekend.

Kufungwa kubaya, wee acha tu!
 
Naona Shedafa karudu (kila spurs wakishinda). Hongereni ila hao Wigan ni shamba la bibi lol,ila Chelsea alikula kichapo.
 
Naona Shedafa karudu (kila spurs wakishinda). Hongereni ila hao Wigan ni shamba la bibi lol,ila Chelsea alikula kichapo.

Baada ya ushindi mnono ni kawaida ya vijiwe kuchangamka ila si utani hawa jamaa wanapaswa kupongezwa kuchapa 9, mbili kasoro kila mchezaji aondoke na lake duh!
 
Baada ya ushindi mnono ni kawaida ya vijiwe kuchangamka ila si utani hawa jamaa wanapaswa kupongezwa kuchapa 9, mbili kasoro kila mchezaji aondoke na lake duh!
Asante mkuu kwa pongezi, hii itabaki kuwa historia kwa muda. Ingawa Arsenal ndio anayejulikana kwa kutoa dozi za uhakika lakini hawezi kuifikia rekodi hii, si mwaka huu wala ujao.
 
Asante mkuu kwa pongezi, hii itabaki kuwa historia kwa muda. Ingawa Arsenal ndio anayejulikana kwa kutoa dozi za uhakika lakini hawezi kuifikia rekodi hii, si mwaka huu wala ujao.
tatizo wachezaji wangu huwa wana mapozi sana na ubitozi unawaharibu wanataka kufunga magoli ya show game. kama wangetoa hizo mbwembwe hapo mbona goli 9 ingekuwa kawaida kwa arsenal kwenye mechi za kijinga jinga.

kasi ya wachezaji wenu inatisha mkuu na ukikutana na beki iliochanganyikiwa mvua ya magoli ni kawaida.
 
Timu yenu haina tatizo pale uwanjani mkuu, tatizo liko nje ya uwanja. Watu wamegundua kuwa ni rahisi kuwachezea kisaikolojia na kuwafanya mpoteze morali, ndicho mnachofanyiwa. Kwa kuwa hamjagundua mtapata taabu, sababu kimsingi hakuna timu katika premier inayoweza kusimama mbele yenu kwa kutegemea mbinu za uwanjani tu. Wazo la kuwa na mtu mzima pale uwenjani linaweza kuwasaidia hasa mnapokutana na wapinzani wakubwa, bahati mbaya ugonjwa huu mmeambukizwa hata nyie mashabiki. Watu wanawaambia timu yenu bado nanyi mnakubali kuwa kweli bado, umefika wakati mkatae kuambia kuwa bado. Kwa maoni yangu mko katika peak!, hamna sababu ya kuzihofu chelsea wala Man U.
 
Baada ya ushindi mnono ni kawaida ya vijiwe kuchangamka ila si utani hawa jamaa wanapaswa kupongezwa kuchapa 9, mbili kasoro kila mchezaji aondoke na lake duh!

Na mkitoa draw au kufungwa unapotea.
 
Ni majukumu tu hatukimbii mtani, sisi tunakwenda kwa malengo so far kila kitu kinakwenda vizuri au hujui kama ligi ikiisha leo na sisi tunacheza Champions league?
 
Ni majukumu tu hatukimbii mtani, sisi tunakwenda kwa malengo so far kila kitu kinakwenda vizuri au hujui kama ligi ikiisha leo na sisi tunacheza Champions league?

Hehehe si unajua utani hauendi bila kutaniana kidogo...kuna mtu mmoja sijamuona wiki ya pili sasa anaitwa Mbu, Makalangilo (Man City) naona jukwaa lake alilikimbia kabisa.
Mvina hongera kwa ushindi wa juzi.
 
Thanks mkuu ndo kwanza kazi imeanza na tutaiendeleza..
 
Back
Top Bottom