Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham godfathers Terry Venables and Ossie Ardiles believe Harry Redknapp is heading for the Champions League with Spurs.
Redknapp celebrates his first anniversary in charge at White Hart Lane this weekend and the outlook could not be further removed from the mess he inherited 12 months ago.
King 'Arry is sitting pretty in the top three, a far cry from the two points in eight games Tottenham had stockpiled under the muchos cobblers of Juande Ramos before the language barrier came down.
And former England coach Venables has been impressed both with the squad Redknapp has assembled and with his fellow geezer's ability to convey a sense of enjoyment in his work, which has been reflected in Spurs' results on the pitch
 
Tottenham godfathers Terry Venables and Ossie Ardiles believe Harry Redknapp is heading for the Champions League with Spurs...

...pooooooh! in their dreams!!!!! ...ndoto za jinamizi hazifai kuotwa mchana!
 
...pooooooh! in their dreams!!!!! ...ndoto za jinamizi hazifai kuotwa mchana!
Nitayahifadhi maneno yuko haya mkuu Mbu, baada ya ligi kuisha nitayarudisha tena jamvini tuone nini kimetokea. Kuanzia Jan hatutakuwa na mswalie na mtu!.
 
Nitayahifadhi maneno yuko haya mkuu Mbu, baada ya ligi kuisha nitayarudisha tena jamvini tuone nini kimetokea. Kuanzia Jan hatutakuwa na mswalie na mtu!.

Yaani mnasubiri hadi January ndio muanze ligi??? Nakumbuka kipindi ile mnapiga watu 6-4-4 na kuendelea mkisema msimu huu ni wenu, sasa mmepoteza uelekeo unasema mnasubiri January.

Haya, yetu macho na masikio!!!
 
Mkuu sisi tumepoteza uelekeo!, unafuatilia ligi kweli?. Au unasema Bwawa la Maini?, sisi mambo yetu bado Super!. Nazungumzia Jan kwa sababu kadri tunavyoendelea tunaangalia kasoro zinazojitokeza na marekebisho yake ni Jan.
 
Kuwa nafasi ya 3 ktk EPL wkt mlianza kwa mkwara km wa man city dogo hilo? OK endeleeni kujifariji mnaweza kuwa mabingwa wa "EPL 09/10"
 
dakika ya 90, stoke ct 1. tot'm 0

Shedafa upo wapi?? naona sipo mbali na ukweli wa maneno yangu ya awali

FT: Tot'm 0 : Stoke City 1
 
Football ni mchezo katili sana, kwa hali ya mchezo ulivyokuwa, Stoke hawakustahili kutoka hata na point moja lakini ndo wameondoka na 3 muhimu.
 
...si nilisema,

Spurs, Man city, Aston Villa na Everton ni wasindikizaji tu, wala hawanishughulishi hawa!
 
Hivi kuwa katika 4 bora ni mpaka ushinde mechi zooote, kama ndio hivyo basi mnaweza kuwa mko sawa. Lakini ukweli ni kuwa kushinda na kushindwa ni sehemu ya mchezo, mbona na wakubwa nao wameangukia pua!. Je, ndio kusema hawamo tena katika ushindani?
 
...Shedafa poleni na kwaherini...:D
 
Hehehe, Shedafa upo mkuu? Bado unafikiria mna nafasi ya kuingia kwenye big four?
 
Hehehe, Shedafa upo mkuu? Bado unafikiria mna nafasi ya kuingia kwenye big four?

Hawana misuli ya kuhimilisha shida ndani ya top 4 ukiwa nje unakuwa so relaxed labda kama unahofu ya kushuka daraja.
 
Alafu noma yenyewe ni kuwa mechi tatu kati ya nne na top four wamefungwa goli nyingi nyingi kazi kweli kweli.
 
Nafikiri nafasi bado ipo, ila unahitajika mkakati wa ziada kwa ajili ya hizi unazoziita Top 4.
 
Back
Top Bottom