Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England inayopatikana Tottenham,Haringey,London ambayo inashiriki Premier League.

Wembley Stadium ndio uwanja wa nyumbani kwa Spurs msimu (2017-2018) wenye uwezo wa kuchukua watu 90,000, wakati uwanja wake wa nyumbani ukiwa kwenye matengenezo(White Hart Lane).

Kuzaliwa: 5 September 1882 (Hotspurs F.C)
829b94a37f4882f1deb46074a61606e4.jpg


Major honours
DomesticLeague competitions
Premier league: 2nd position(2016-2017)


First Division/Level 1:
Winners (2):
1950–51, 1960–61

Second Division/Level 2:
Winners (2):
1919–20, 1949–50

Cup competitions
FA Cup: Winners (8):

1900–01, 1920–21, 1960–61, 1961–62, 1966–67, 1980–81, 1981–82, 1990–91

League Cup: Winners (4):
1970–71, 1972–73, 1998–99, 2007–08

FA Charity Shield/FA Community Shield: Winners (7):
1921, 1951, 1961, 1962, 1967*, 1981*, 1991* (*shared)

European
UEFA Cup Winners' Cup: Winners (1):

1962–63

UEFA Cup/UEFA Europa League: Winners (2):
1971–72, 1983–84

Other honours/friendlies
Historical competitions


Southern League:[120]
Winners (1): 1899–1900

Western League:[120]
Winners (1): 1903–04

London League Premier Division Champions:
Winners (1):
1902–03

Football League South 'C' Division Champions:
Winners (1):
1939–40

Southern District Charity Cup: Winners (3):
1901–02, 1904–05, 1906–07

Sheriff of London Charity Shield: Winners (2):
1901–02, 1933–34

London Challenge Cup: Winners (8):
1910–11, 1928–29, 1936–37, 1947–48, 1958–59, 1963–64, 1970–71, 1973–74

Friendly tournaments
Anglo-Italian League Cup:
[129]
Winners (1): 1971

Costa Del Sol Tournament:
Winners (2):
1965, 1966

Nolia Cup: Winners (1): 1977

Kirin Cup: Winners (1): 1979

Sun International Challenge Trophy: Winners (1): 1983

Peace Cup: Winners (1): 2005

Vodacom Challenge: Winners (2): 2007, 2011

Feyenoord Jubileum Tournament: Winners (1): 2008

Barclays Asia Trophy: Winners (1): 2009

AIA Cup: Winners (1): 2015
70212228580d661d9f5a44fbb06efdb4.jpg

Spurs Motto: To Dare is to Do
 
Vzr sana kuanzisha spcial thread ya mbabe wa man u na man city msimu huu lazima wakae
 
Top ten wala si ya kuwekea malengo, tumekuwa humo mara nyingi. Kumbuka sisi ni moja ya timu chache (nafikiri hazizidi 5) ambazo hazijawahi kuikosa premier toka iwe premier. Matumaini yetu mwaka huu ni 4 bora, ni lazima tushushe kigogo kimoja. Ila naona kuna wanaotaka kuja na mbinu chafu, wanataka kutubomoa kama mwaka jana. Tumewapa Babatov na mwaka huu tena wanataka, hawaoni pengine!.
Mdau usisahau sasa sio ligi ya top four tena, kwa sasa ni top six. Sasa sijui nyie mtamaliza msimu mkiwa nafasi gani.
 
Chama la Wana, lkn naona kama tunateseka sana tukiwa Wembley sijui lini tutauzoea huu uwanja
Mkuu kwa game ambazo tumekwisha cheza naona game na liver (premier league) ndio tumeubikiri kwa goal nyingi huu uwanja sasa naona ni mtelezo.
 
Back
Top Bottom