Totozi za mwenge.....aiseee

arifu hawa viumbe bana....hata ile kuwaangalia inatia raha na kupunguza stress.....

Nawachukia sana hawa watu.....siku moja jamaa akawa anamsafisha miguuu na kumpaka rangi shori wangu....aisee niligombana nae nikampaka mwenyewe rangi watu walicheka sana......wana mbinu mbaya sana wale......kama majuzi nimepita kule nyuma wapo kibao nimemkuta dada kajiachiaaa weee jamaa anamsafisha miguu....dada full raha kaacha kila kitu wazi kwa kutekenywa tekenywa miguu na jamaa pale chini anakula deo mali za tu.....shori wangu nampaka rangi mwenyewe

mh kupaka rangi yataka ujuzi.. Utaweza? Mi napenda huwa kama wanakufanyia massage ya vidole... Mpaka raaaaha..
 
niko orlando sasa hivi arifu....

Toka zako hapa...jana umekesha ukiangalia slam dunk contest! Tena uliandika kwa maneno yako mwenyewe kule kwenye michezo.

Endelea kula vumbi na kung'atwa na mimbu! Acha wenzio tule bata Unyamwezini.
 
majuu hamna totozi za mwenge.....
 
majuu hamna totozi za mwenge.....

Ni kweli hamna! Hamna totoz zenye vikwapa! Hamna totoz zenye kula vumbi mwanzo mwisho! Hamna totoz zinazoishi majuu kwa kupitia DSTV kwa sababu ziko majuu tayari!

Kwa kifupi, huwezi kulinganisha Mwenge na majuu.
 
kwa hiyo hata dada zako,shangazi,mama zako wadogo wote wananuka vikwapa? acha kauli mbaya arifu....BTW snow imepungua

Kwa bahati nzuri, dada zangu, shangazi zangu, na mama zangu wadogo nawatumia mahela kibao. Na hawaishi Mwenge. Hayo mahela ninayowatumia moja ya masharti yake ni kuhakikisha wananunua bidhaa za usafi wa mwili zikiwemo anti-perspirant deodorants na advanced listerine with tartar protection.
 
acha ushamba we boyo,kwnda mtoni isiwe tija ya kuw2kana dada zet na mama z2.ndo maana wanawaitaga manyani,
 
dsc_1043.jpg

unataka nyingine?
Duh mbona kazeeka sura huyo!!
 
Back
Top Bottom