Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Totozi za mwenge.....aiseee

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Yo Yo, Feb 24, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,245
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Aiseeee wakuu pale Mwenge mbona bruuuudani sana....mida ya majioni jioni hivi saa kumi mpaka saa 2usiku wewe katika katiza pale mwenge stand mamaaaa kuna totozi balaa....sijui wanatokaga na kwenda wapi.....

  afu sasa timing nyingine leo si ijumaa? basi kesho j'mosi wewe weka makazi kabisa pale...aisee wale watoto sijui wamejiumba wenyewe....yaani unakutana na toto limeumbika kweli kweli alafu network available.....unakuta totozi wezere lipo,sura weweee,shape mamaaaa aisee alafu sasa na zile nguzo za buku 2 za pale mwenge zinawakaa vema sana.....
   
 2. data

  data JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 11,578
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Weka picha.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,245
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  unataka nyingine?
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,980
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Uwiii Yo Yo huyo mbona ni kibibi kizee afu kimepiga mini?..
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,245
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  mjini arifu hapa.....
  [​IMG]
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,595
  Likes Received: 2,776
  Trophy Points: 280
  Wengi ni wanafunzi wa pale mlimani.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 31,096
  Likes Received: 5,663
  Trophy Points: 280
  YOYO thread yako ya ukweli sana ulivyozifia hizo totoz za mwenge ila ulivyorusha hii picha basi nimechoka mwenyewe
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,842
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Yo yo Totooz zenyewe ndiyo kama hiyo au unatania tu?Bibi kakomaa kama ugali wa muhogo duh!!!
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,245
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  arifu yule mchizi pale juu kataka picha.....si unajua watu humu kila thread wanataka picha nimemuweka hiyo aridhike afu tuendelee....BTW zile totozi si mchezo
   
 10. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapo sina swali nimekubali toto za ukweli hizo,ataebisha mbishi tu,
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,022
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  kweli mkuu. totoz za mwenge si mchezo
   
 12. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,397
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  hata kwetu K'nyama ni hivyo hivyo.HATARI
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,597
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  kweli mwenge kuna twiga wa ukweli
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,975
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pale kuna totoz ukweli halafu pale si unajua kuna wale waosha miguu na wapaka rangi...nguo bwerere pale....totoz zinatoka ustawi na UD...Zinapita pale...

  Pale wanatumia kama hub kwenda sehemu zingine za mji na kupata mahitaji yao...
   
 15. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,362
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mtu unasifia miguu,wezere au hips hivi unavitumiaje vitu hvyo??
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  "Eeh mungu tuepushe wajawako na vishawishi vya mwovu shetani. Yule msaidizi ulieniletea(EVA) amegeuka nyoka mwenyesumu kali."
   
 17. leloch

  leloch JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwel wakuja utawajua 2... Sa mkuu we m2 kuvaa nusu uchi umepagaaaawa... Ngoja kwanza wakuchune af urud kjjn kuuza mkaa ndo akl itakaa sawa... Hzo n tamaa 2 sa ungekuwa waenda club, cAsin0 nn kngetokea kwako acha TaAMAA jheshm... Am out...
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,359
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  SL ! Wajua kinachotakiwa ni Punda ! Mlio wake wa nini ?
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,359
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ukisikia mtu anaisifia nyumba ina garden nzuri, swmng pool, haimanishi analala kwavyo,
  No no !
  Ana maana hivyo vinapendezesha nyumba.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,980
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hahaha!
  Nimekubali!
   
Loading...