God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 275
- 173
[h=6]Mtoto: Baba niletee glasi ya maji
Baba: We mtoto una kichaa nini? kachukue mwenyewe!
Mtoto: Bwana niletee!
Baba: Usinisumbue, nitakuja kukupiga makofi!
Mtoto: Basi ukija kunipiga makofi njoo na glasi ya maji.
[/h]Source: Si Mchezo Magazine, Machi - April, 2012 Toleo Na. 59