Toto la A town....

kunani hii pc yangu haifungui hiyo:embarrassed: picha..
Ngoja nisubiri wengine.
 
kunani hii pc yangu haifungui hiyo:embarrassed: picha..
Ngoja nisubiri wengine.

mmmh....wakwetu....dada kanenepa huyo......halafu keshachakachua ngozi....hilo chimbo alilokuwepo....c la kitoto
 
mmmh....wakwetu....dada kanenepa huyo......halafu keshachakachua ngozi....hilo chimbo alilokuwepo....c la kitoto

aibu za uchAGUZI ZINGEMWACHA?...ilibidi akimbie kujiepusha na aibu na maneno ya raia wenye hasira.
 
mmmh....wakwetu....dada kanenepa huyo......halafu keshachakachua ngozi....hilo chimbo alilokuwepo....c la kitoto

Preta nini kinaendelea kwenye miguu ya avator yako? Nimeipenda hiyo comment yako...sio kila sehemu wanataka English figures, lol
 
preta nakuomba mimi huku sioni ichakachue hiyo picha uweke nami nione au wivu utakuandama???
 
hiyo picha iko youtube....mbona inaonekana vizuri tuu.....
 
Kanenepa na kaota na kitambi...! CCM utawajua tu...!
Mhafidhina, hicho kitambi chako cha kheri kweli? ila siyo siri nakaaya kapendeza mtu wangu
 
Hajapendeza kunenepa,wigi halimpendezi anapendeza mno na nywele fupi..........ana rangi zuri nakaaya hata nje ya make-up kama kajiongezea alompata mshamba kamdanganya?there should be a difference btn mwili wa mwimbaji wa Bongo Flava kama yeye na mwimbaji wa taarab kama Hadija Kopa...........ni hayo.But Big up yourself,nakukubali.
 
Kanenepa na kaota na kitambi...! CCM utawajua tu...!
Mhafidhina, hicho kitambi chako cha kheri kweli? ila siyo siri nakaaya kapendeza mtu wangu[/QU

nimeona hata MS na JEYKEY nao pia wameaanza kuota vitambi baada ya kuwa mawakala wa chama haramu
 
Back
Top Bottom