total shut down bugando

niko pamoja nao,haya mafua yanayo nisumbua ntaendelea kuya vuta vuta hadi kieleweke!!!
 
hii si hospitali ya kanisa? Gov iangalie Upya huu mkataba wa MOU

Yep! Madaktari wanatufundisha kwenye mambo ya msingi hakuna cha mtema mate, mswalia mtume au ishara ya msalaba.
Kwao ukimgusa 'mmoja' umewagusa wote. Serikali walianza mdundiko Dar, sasa ngoma inachezwa nchi nzima.
FFU watatibu watu?
 
pinda jiuzulu..this time hakuna kulia lia hapa piga nyama chini
 
Hivi mavikao ya Bunge yanaanza lini? Madaktari tuko pamoja................
 
Kila kitu hovyo hivi hawa viongozi wetu wapi watajisifu kufanya vizuri!??
 
sasa tutamtaka waziri mkuu ajiuzulu kwa kutoa taarifa za kichochezi na kusababisha mgomo wenye athari zaid.
 
Huo ni udhaifu aliouonesha pinda, tunajua ni dhaifu lakini jana kazidisha na kafika mwisho kufikiri!
 
pinda jiuzulu..this time hakuna kulia lia hapa piga nyama chini

Hivi Pinda ndiye mwenye mamlaka na nchi au JK alienda Swiss huku mgomo umepamba moto, wabunge kwao dodoma maisha magumu allowance ikapaa je wengineo hasa Dar, Arusha Mwanza ambapo ni miji mikubwa kuna wafanyakazi wa serikali wanalipwa kiduchu kwa kodi yetu halafu wengine wanaotumia kodi hiyo kupiga porojo na kuingia mikataba ya kuangamiza nchi wanajiongezea
 
Yep! Madaktari wanatufundisha kwenye mambo ya msingi hakuna cha mtema mate, mswalia mtume au ishara ya msalaba.
Kwao ukimgusa 'mmoja' umewagusa wote. Serikali walianza mdundiko Dar, sasa ngoma inachezwa nchi nzima.
FFU watatibu watu?
Nashanga!!! Hivi FFU hawajielewi! Sasa wanafanya nini hospitali na mibunduki yao!!
 
Back
Top Bottom