toshiba satellite j32 Driver

ndekia1

Member
May 5, 2008
31
5
Hellow member of JF nina tatizo na (laptop toshiba satellite j32) tatizo ni driver za internet na Soundcard.Nimejaribu kutafuta kwenye internet lakini sifajapata plz naomba mtu mwenye idear na hili anitumie link.

thanks
 
U re first stop shouls be toshiba website.nenda kwenye sehemu nadhani ya support and dowload.

But cha muhimu huwezi kutafuta madereva ambao hujui wataendesa gari gani. La sivyo utapata dereva asiyefaa. So u must know the hardware model of the driver u re searching ambazo hujataja.

Kwenye computer management Nenda kwenye device Manager kacheki Sound hardware yako ni ya aina gani eg Realtek AC97 audio. Kwa hiyo itabidi utafute driver yenye specs hizi

kitu kingine hakuna kitu kinaitwa driver za internet labda kama ulimaanisha driver za Network. Pia hizi inabidi ujue Hardware model ya Network Adaptaer zilizoo kwenye laptop

  • eg harware model ya wireless card inaweza kuwa Atheros AR500.So utatafuta driver zenye jina hili
  • eg harware model ya NIC inaweza kuwa Realtek RT8139.
Ukijua hardware model ni rahisi kuwapata madereva sahihi.

Mfano hiii ni link ya official tshiba wesbite unayoweza kupata driver za model ya M30 http://www.csd.toshiba.com/cgi-bin/tais/support/jsp/home.jsp.

Nashangaa hiyo j32 haipo. Soma vizuri model yako au cheki kama model ya hardwarezinaendana na mashine yako. kama model za hardware zinaendana unaweza kudowload.

Good luck
 
Mkuu laptop yako inatumia OS ipi?

Nauliza hivyo kwasababu Windows Vista na Windows 7 zina uwezo wa kukusadia kufanya updates kupitia website ya microsoft.com/updates au /windows.

Lakini pia unaweza kwenda katika link ifuatayo ili uweze kufanyiwa troubleshooting na pengine kutatua tatizo lako.

Hardware Helper Online: Toshiba PC drivers

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom