Tosamaganga high school

Mandela Old bado linatumika wakuu,ukipita kizembe splash kama kawa!Long live that place duh

Mh! nimepita pale September Mwaka jana lilikuwa halitumiki..... wewe ulikuwa hapo lini?
 
Ukitafuta za Idete usisahahu za Banawanu kwenye miwa na kule kwenye mapera (Atom)

297184_256531201056404_100000985779157_781765_1685644673_n.jpg
 
Mkuu kwa waliopita miaka ya 1986 hadi 1989 watakumbukuka bweni hili lisilotumika lilikuwa linaitwa Muungano mabweni mengine yalikuwa yanaitwa Mapinduzi, Azimio n.k mmekunywa sifongo nyie? walahi nimekumbuka mbali enzi za heamaster Dudu

Yap baada ya Mandela kutoka geerzani lilibadilishwa na kuitwa Mandela... nimekaa hapo ikiwa initwa Mandela
 
Du! Asante sana kwa kumbukumbu nzuri. Nilikuwa hapo wakati wa ule mgomo uliomuondoa marehemu "Dudu". Walikuwepo akina Boyd "Mnazareti", Biga Kipemba, Joseph Paschal, Patrick Rwehumbiza, Kimti, Japhet Makau, Bruce Mwile, Msasalaga na wengineo wengi.
Nilikuwa Iringa girls! Nakumbuka Disco la Tosa mnacheza na uniform
 
Ewaaaaa shule yangu hii miaka ya 1987 mpka 1989..... Wakati Disclipne ya fani ya elimu Tanzania bado ilikuwepo.... Darasa hakuna kuzidi wanafunzi 18 mkizidi linagawanywa mara mbili hata kama mtakuwa 10 darasani ni Bora............ Kulikuwa na breakfast inaitwa sifongo na missionary walikuwa wanauza mikate inaitwa sphere.
Kitaaluma shule ilikuwa juu kwani kulikuwa na mchanganyiko wa waalimu, watanzania waliobobea taaluma mpaka Ma-TX kutoka russia na UK walikuwa wanafundisha pale. Elimu ilikuwa inatolewa yote ya vitendo na nadharia.
Utaratibu ulikuwa mzuri ingawa kulikuwa na adhabu kali sana za viboko lakini nadhani ilikuwa ni muhimu kwa wakati ule kuweka wanafunzi katika mstari. Nawakumbuka waalimu kama Headmaster alikuwa anaitwa Mpogole, Mgunya, Kasanda, Mwakabanje, Verichko, Silvanovich (Mr and Mrs) Shabunin, Terminov, Kisenime na wengine ... Hii Timu ilikuwa nguvu kazi kwa kutoa elimu..... Pouwa saaaaaaaaana uliyeweka hii kumbukumbu Aksante sana sana.
 
Thanks mkubwa kwa kunikumbusha enzi hizo nilikuwa pale 2000 to 2002. Yaani umetudondoshea picha zote za kila Angle ya Tosa ukiondoa Mashamba ya nyanya na mahindi pia madarasa ya EGM na kwa masista si unakumbuaka banzi mkuu. Kupitia Tosa unajifunza mengi sana nitaenda pale kuvisit one day. My school i miss you so much.

Usiende mikono mitupu lakini,,
 
Ewaaaaa shule yangu hii miaka ya 1987 mpka 1989..... Wakati Disclipne ya fani ya elimu Tanzania bado ilikuwepo.... Darasa hakuna kuzidi wanafunzi 18 mkizidi linagawanywa mara mbili hata kama mtakuwa 10 darasani ni Bora............ Kulikuwa na breakfast inaitwa sifongo na missionary walikuwa wanauza mikate inaitwa sphere.
Kitaaluma shule ilikuwa juu kwani kulikuwa na mchanganyiko wa waalimu, watanzania waliobobea taaluma mpaka Ma-TX kutoka russia na UK walikuwa wanafundisha pale. Elimu ilikuwa inatolewa yote ya vitendo na nadharia.
Utaratibu ulikuwa mzuri ingawa kulikuwa na adhabu kali sana za viboko lakini nadhani ilikuwa ni muhimu kwa wakati ule kuweka wanafunzi katika mstari. Nawakumbuka waalimu kama Headmaster alikuwa anaitwa Mpogole, Mgunya, Kasanda, Mwakabanje, Verichko, Silvanovich (Mr and Mrs) Shabunin, Terminov, Kisenime na wengine ... Hii Timu ilikuwa nguvu kazi kwa kutoa elimu..... Pouwa saaaaaaaaana uliyeweka hii kumbukumbu Aksante sana sana.

Msangi pia ulimuacha?
 
haya sasa, mnaenda likizo, vichwa vya juu vikapumzike, vichwa vya chini vikafanye kazi.
 
Du! Asante sana kwa kumbukumbu nzuri. Nilikuwa hapo wakati wa ule mgomo uliomuondoa marehemu "Dudu". Walikuwepo akina Boyd "Mnazareti", Biga Kipemba, Joseph Paschal, Patrick Rwehumbiza, Kimti, Japhet Makau, Bruce Mwile, Msasalaga na wengineo wengi.

Tosa,nilipita hapo kwa mwaka 1 tu 1993-94 PCB f5,nikahamia Tambaza baada ya mgomo uliowaondoa O'LEVEL.
Tosa ni bonge la shule bwana. Kale kamlima wenyewe wanakaita
TOSA ACADEMIC HILL. Kaeneo kadogo kana shule kibao,makanisa ndo usiseme.
Zaidi nayakumbuka Maandazi ya EAST LONDON,kwa masista. Mapeasi,ulansi. Kile choo cha HALF MILE. Kale kaposta pale chini,kituo cha polisi Ipamba na Ipamba Hospital. Kituo cha watoto yatima Ipamba!
TOTOZ kutoka Iringa Girls na kwingineko wakati wa sherehe mbalimbali pamoja na wakati wa Easter Conference.
Oooh ! TOSA NATAMANI KWENDA KUHIJI.
 
Shule la kimaskini mnapoteza muda kulipromoti. Na sisi tuliosoma Shaaban Robert kisha Bonn (Germany) tukiweka picha zetu? Mbaaffffff

Poa bana,kwa kutupondea. Lakini bahati nzuri jf ni ya wote. Mtu kama wewe ungesoma shule kama tosa wangeshakuzika long. Ni ngumu kufuga broiler kijijini !
 
Zitto hakuwahi kuwa prefect tosa! Umenikumbusha mbal nadhan baadh ya picha zimepigwa na mr mlwale aka soldier
 
Tosa,nilipita hapo kwa mwaka 1 tu 1993-94 PCB f5,nikahamia Tambaza baada ya mgomo uliowaondoa O'LEVEL.
Tosa ni bonge la shule bwana. Kale kamlima wenyewe wanakaita
TOSA ACADEMIC HILL. Kaeneo kadogo kana shule kibao,makanisa ndo usiseme.
Zaidi nayakumbuka Maandazi ya EAST LONDON,kwa masista. Mapeasi,ulansi. Kile choo cha HALF MILE. Kale kaposta pale chini,kituo cha polisi Ipamba na Ipamba Hospital. Kituo cha watoto yatima Ipamba!
TOTOZ kutoka Iringa Girls na kwingineko wakati wa sherehe mbalimbali pamoja na wakati wa Easter Conference.
Oooh ! TOSA NATAMANI KWENDA KUHIJI.

me sijasoma tosa ila nimesoma iringa girls na kweli tosa ndo walikuwa wachumba tulikuwa tukija sana pale miaka ya 2000.nitaenda sikumoja kutembelea
 
Tosa,nilipita hapo kwa mwaka 1 tu 1993-94 PCB f5,nikahamia Tambaza baada ya mgomo uliowaondoa O'LEVEL.
Tosa ni bonge la shule bwana. Kale kamlima wenyewe wanakaita
TOSA ACADEMIC HILL. Kaeneo kadogo kana shule kibao,makanisa ndo usiseme.
Zaidi nayakumbuka Maandazi ya EAST LONDON,kwa masista. Mapeasi,ulansi. Kile choo cha HALF MILE. Kale kaposta pale chini,kituo cha polisi Ipamba na Ipamba Hospital. Kituo cha watoto yatima Ipamba!
TOTOZ kutoka Iringa Girls na kwingineko wakati wa sherehe mbalimbali pamoja na wakati wa Easter Conference.
Oooh ! TOSA NATAMANI KWENDA KUHIJI.

Ah! Kumbe ni wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom