Topic ya Hussein Bashe kumbonda mfanyikazi wa New Habari imetolewa.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Sawa, inaweza ikawa ni tetesi, lakini kwanini isishughulikiwe kitetesi-tetesi?
Nimeikuta Fesibuku hii habari, nikaona sio mbaya nichungulie huku, through Google nimeiona, ila kwa ndani wameitoa.
Ingekuwa poa ikabaki, labda Hussein Bashe, ambaye ni member humu angekuja na majibu kuntu, kuliko admin wetu kujaribu kukalia kinyesi ili kuficha aibu, matokeo yake unajichafua zaidi.
Au ni part ya maintainance?
 
Last edited by a moderator:
jamani tunatafutiana madonda koo tu hapa chit chat.

Huyu bashe naye ni nani?
 
Back
Top Bottom