Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
kuna post nyingi zinageuka kuwa mihadhara ya kudhalilisha dini za watu wengine na matusi mods mko wapi? inakuwa kama facebook sasa
 
Ninachoona ni kwamba Ukiandika ukweli kuhusu ukatili wa ISIS,Al-Qaeda, Boko HAram, Alshabab topic inafutwa haraka sana. Lakini ukitaka Topic Yako usfutwe andika Mchungaji Kafumaniwa...., Mwanakwaya kashikwa ugoni.. na vitu kama hivyo topic yako haitafutwa. Lakini Ukiandika kuhusu Imanmu Kabaka na utoe Ushahidi, Mara moja Topic yako inafutwa.

Inaelekea kuna Terrorist sympathizer kapewa Duster humu JF
 
Kusema ukweli hii forum ndo inanifanya nijue mengi na kujifunza vitu vingi ila hili swala la kufungia baadhi ya topic linanikera sana, ni bora basi waache kufanya kazi au waifunge tu.Leo wamefuta thread yangu na sasa nimeona wamefuta nyingine ya mtu mwingine.Kusema kweli mnakera.Samahani sana kwa hilo
 
Mm mshawah kunban kwa saa 24 kisa kusema mbunge kwa cuf n mpumbavu lakn cha ajabu nashangaa kwenye uzi wa shoo kuhusu dawa za kulevya mdau wenu kasema jakaya kikwete alifadhiriwa na wauza unga wa magomeni na nireply ile text aba ushahidi gan? na sio kwamba uongoz wa JF hamjui namn mmeona ila hamjachukua hatua kabsa hv mtu anawezaje kusema rais kikwete kafadhiriwa na wauza unga bila ushahid?? ndomana watu wengne wanasema mnapendelea sababu mambo makubwa watu wanasema hamuwafungii ila wengne kdg mnawafungia......Justice for all Max....kama kuchinjwa achinjwe kila anayekosea........Me sijalaum n kwel nlkosea kumuita mh. mbunge mpumbavu japo siamn kama mpumbavu n tusi...ila nmekubal adhabu na life goes on na JF sitoki mwajia npo toka lin humu.....lkn pia mmeshindwa kuondoa thread nyngne hazna maana kabsa mtu kalala.kajsikia tu kuandika..........Jitahidi kutenda haki kwa wote pia mjue maana ya maneno....mengne sio matusi kabisa...........Nawasilisha
 
Utendaji wenu ndio utaofanya watu waone JF yenye haki kwa kila mtu lakn kwa sasa ilvo inaonekana JF ni ya chama fulani kuanzia uongoz had watu wake ambao sheria hazchukuliwi kwao sisi wanyonge tutajikongoja lakn tutafka
 
naomba msaada nahitaj kuweka video ya mtanzania alyesukumwa toka gorofani oman lakn ikfka 90% inakataa..vdeo hii inaonesha akiwa amejshkilia sehem kabla ya kudondoka chini uku.boss wake akimtazama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom