Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Hivi unajua maana ya ''nip in the bud'' wewe? Huku kuungaunga kutaisha lini jamani? Yaani mtu unatumia tu maneno bila hata kujua yanatumikaje.

Mkuu,hili ni jukwaa la kuelimishana,naona hapa tunakoseana heshima tu bure.Nadhani ingekuwa vema utoe maana unayoijua.Mimi siyo chizi kutumia neno nisilolijua.Hebu itendeee haki avatar yako.Meaning of nipped in the bud according to freeonline dictionarymeans to put an end to something before it develops into something larger or to stop something soon after it has began.Kosa langu liko wapi?kuwaambia mods wasiitupie kapuni topic ya mleta uzi ndo kutoelewa?
 
vp kuhusu kuweka topic na kujikuta hiyo topic imehamishwa na mods bila mwenye topic kujulishwa imehamishiwa wapi? hili nalo limekaaje wajameni?
 
Kwa kweli nimekuwa mfatiaji sana sa jamii forum kabla cjajiunga ila kitu kinachoumiza kwann kuna ubaguzi wa dini humu ndani hamna usawa
 
Kwa kweli nimekuwa mfatiaji sana sa jamii forum kabla cjajiunga ila kitu kinachoumiza kwann kuna ubaguzi wa dini humu ndani hamna usawa

Kuna jukwaa la dini humu na hakuna dini inayobaguliwa, labda tatizo lako unadhani dini yako ni bora zaidi.
 
Tukisimamia misingi na kanuni zinazotuunganisha, tunaweza kupanuana mawazo,na ku- share mambo ya msingi kwa faida ya Taifa letu, na kukemea wanaowachafua wenzao au kutoa lugha za matusi! tuheshimiane wana JF maisha ni zaidi ya leo! salam kwako Invisible, real I always appreciate ur post........
 
Bhana eeh,ukweli usiongelewe kisa una maslahi na kundi gani!
Kisingizio kikubwa ni kuhatarisha amani,uchochezi!ukigusa sehemu nyeti....UCHOCHEZI.JF mmeshikwa pahala flani na wenye mikono mirefu nini
 
Hapa mmechemka. Nakama kila mtanzania ana haki yakupata nakutoa habari mmechemka.
 
Me nimefanyiwa kitu ata sijapenda katika huu mtandao nilifungua account., nikawa natumia kila siku gafla siku nimekuja kuweka password inakataa nina akili zangu timamu kwanini?? ndio mumefunga au imekuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom