Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Asante kwa kutukumbusha utaratibu ila tusiwahurumie mafisadi kabisa maana wanatutesa sana na wakati mwingine tunaandika kwa hasira kutokana na mateso tunayopata kutokana na mafisadi.
 
duh JF wako serious kuna jamaa mmoja alipost topic ya kuleta mapinduzi ya umwagaji damu, kapigwa BAN mwaka mzima!
 
Ongereni sana wahusika naunga mkono.kutokana hutumia na watu kibao wakubwa kwa wadogo.nawapa ongera sana kwa sheria zenu zuri.
 
Mkuu nashukuru umenielimisha vizuri sana. I really appreciate. I wish i could have gone through these sheria and kanuni long time ago!
 
Kwa kweli mmenifungua macho! Kabisaa...kuhusu sheria na kanuni zinazopaswa kuzingatiwa kama mwanachama halisi wa JF.
 
Naomba kufahamishwa ni meseji za aina gani au maneno ya aina gani yasiyoruhusiwa ndani ya JF> Nimesoma sheria na taratibu zote lakini naona baadhi ya mambo ni uamuzi wa mod kufurahia au kusema NO.

Kila leo naona trd zinazozungumzia ukabila na hasa hili la CDM kuiwa ni chama cha Wachagga. Mara kinaandikwa ni cha kanda ya kaskazini.

Mategemeo yangu nilidhani trd kama hizi zingefutwa na Mod lakini naziona zikipepea hadi mwisho.

Mimi niliwahi kuandika kwamba chuo Kikuu cha kiislamu pale Morogoro ni cha kidini na hakitaki wanafunzi wakristu wajiunge hapo. Nikaongeza kwamba hata wnafunzi wake hawachaguliwi na TCU pamoja na kwamba wanalipiwa na bodi ya mikopo bila kueleza sababu. Hiki chuo siyo seminari. Hapo ushahidi upo. Ujumbe huu ulionekana kwa dk chache na kufutwa.

Yaani haturuhusiwi kusema lolote juu ya dini? au juu ya dini fulani? na maana nyingine Mod ahana shida na tatizo la kupepea ukabila bila ushahidi?

Mod hebu nipe onyo nifahamu ni nini hakitakiwi ingawa hakikuandikwa.
 
Mleta uzi ana hoja.Asikilizwe!mods do not let his post be nipped in the bud!
 
Mleta uzi ana hoja.Asikilizwe!mods do not let his post be nipped in the bud!

Hivi unajua maana ya ''nip in the bud'' wewe? Huku kuungaunga kutaisha lini jamani? Yaani mtu unatumia tu maneno bila hata kujua yanatumikaje.
 
Hivi unajua maana ya ''nip in the bud'' wewe? Huku kuungaunga kutaisha lini jamani? Yaani mtu unatumia tu maneno bila hata kujua yanatumikaje.
sweety uko sahihi, hiyo idiom imetumika visivyo hapa, nilitegemea mleta uzi ndiye aitumie na siyo aliye-comment kwa mleta uzi. Amejifunza kitu, wakati mwingine atakuwa makini.
 
Last edited by a moderator:
Mods

Sasa kufuatia kanuni na taratibu zilizowekwa hapa,

Ndugu yetu Mwigulu Nchemba amevunja kanuni ya sita (6) kutokana na tuhuma zisizo na ushahidi kwa lengo kumdharirisha Mh Dr Slaa na Chama chake katika thread ile isemayo "Red Brigade ni kikundi cha mauaji, wamwagia sumu na nchi kutotawalika",


Lakini Mods mmeendelea kuiacha thread ile wala Mwigulu hajachuliwa hatua zozote,

Je kwa mtazamo wenu mnaona Mwigulu Nchemba hajavunja sheria za jf ambazo aliziridhia kabla ya kujiunga?

Kama hajavunja kipengele hicho basi naombeni ufafanuzi!
 
Status
Not open for further replies.
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom