OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Wasira,membe na sita..hawa ndio wanafiki wanafanya nchi iwe na makundi.
Katiba mpya isiruhusu huu upuuzi wa waziri lazima awe mbunge. Hebu fikiria wabunge wa ccm ndo hao akina Majimarefu, Lusinde, Bulaya, Idd Azan na wachovu wengine wengi.
Yule aliyeuza TWIGA anaitwa nani?
Katiba mpya isiruhusu huu upuuzi wa waziri lazima awe mbunge. Hebu fikiria wabunge wa ccm ndo hao akina Majimarefu, Lusinde, Bulaya, Idd Azan na wachovu wengine wengi.
Yule kiboko ana malori zaidi ya 15 na hiyo nyumba ya 600m(zaidi ya 1bil)uwaziri miaka 4 tu...akiwa waziri 20yrs si balaa??atauza hadi mbu daddaakekii
1.Wiliam ngeleja
2.George mkuchika
3.Ezekiel Maige
4.steven Wasira
5.Halji mponda
6.crilly chami
7.Omary nundu
8.Mustapha mkulo
9.prof Jumanne Maghembe
10.Mary nagu
ziada waweza kuongeza wengine
11.
12.
Jamaa kapita wizara nyingi sana kwa kipindi kifupi, Natamani hawe waziri mkuu, KWANI ANAUZOWEFU WA WIZARA NYINGI.