TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

Napendekeza wizara ya mali asili na utalii apewe James Lembeli! Huyu jamaa ni kichwa sana na amekaa TANAPA sana na anauwezo wa kuendesha hii wizara, alifanya kazi pale TANAPA kwaustadi mzuri hata KIKWETE analijua hilo.
 
Halafu kuna taarifa ambazo sio rasmi lakini inawezekana, kua kuanzia jana Kikwete kutangaza kua ataunda baraza jipya la mawaziri kuanzia leo baadhi ya mawaziri wameshaanza kupishana kwa waganga wa kinyeji AKA (MAKARUMANZIRA) kupata tiba mbadala ili rungu la mkuu wa kaya lisiwapate! Sasa hivi ni mavuno kwa waganga hao.
 
1.Wiliam ngeleja
2.George mkuchika
3.Ezekiel Maige
4.steven Wasira
5.Halji mponda
6.crilly chami
7.Omary nundu
8.Mustapha mkulo
9.prof Jumanne Maghembe
10.Mary nagu
ziada waweza kuongeza wengine
11.
12.

Wakati ule hawa ndiyo walikuwa askari wa miavuli! Leo mnasema hawafai; sijui hao the best from among magambas watatoka wapi? Tatizo la msingi ni mila na desturi za chama cha magamba, maana hata kule bungeni yuko yule mama wa magamba ambaye hana jema analowazia taifa hili hata siku moja. La msingi tu wakumbuke siku moja umagamba wote na mizizi yake itatupwa mbali na historia na itakuwa aibu na fedheha kwao wote!!!!!! Mwalimu aliyaona haya kwa mbali akawa muungwana akang'atuka mapema!!! HONGERA MWALIMU KWA KUTUACHIA REFERNCE YA HISTORIA!!!!!
 
Hakuna msafi wote hata Magufuli ni balaa wanajificha tu kichakani mwa tabasamu la JK, wafutwe na kama alivyovunja katiba kwa kuwakataza akina Warioba kujadili masuala yahusuyo kuvunjika au kutovunjika kwa muungano aamuru au ateue mawaziri watuatao:
1. Prof. Wilbrod Slaa Waziri Mkuu
2. Tundu Lisu - Waziri wa Sheria na Katiba akisaidiwa na Mnyika
3. Zitto Zuberi Kamwe - Waziri wa Fedha
4. Mkosamali - Nafasi ya Lukuvi
5. David Kafulila - Viwanda na Biashara
6. Free man Mbowe - Mambo ya ndani
7. Wenje - Serikali za Mitaa na Utawala Bora
8. Nyerere (CDM) - Mambo ya nje
9. Kiwia (Mambo ya ndani)
10. Sugu (Michezo na utamaduni)
11. Mchungaji Msigwa - Mahusiano ya dini mbalimbali - wizara mpya!
12. Dr yule wa Bukombe - Afya na ustawi wa jamii
13. Mama Annaniel Nkya - Jinsia na watoto
14. Magufuli - Ujenzi na Miundombinu
15. Mbunge wa ukerewe - Uvuvi na mifugo
16. Dr. Mwakyembe - Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi
17. Mzee Shirima wa precision - Usafirishaji na uchukuzi
18. tafadhali ongezea....
19.maige - Maliasili na utalii
 
Napendekeza wizara ya mali asili na utalii apewe James Lembeli! Huyu jamaa ni kichwa sana na amekaa TANAPA sana na anauwezo wa kuendesha hii wizara, alifanya kazi pale TANAPA kwaustadi mzuri hata KIKWETE analijua hilo.
Lazma atakua ndugu yako tuuu...maana uo wasifu..??
 
...napendekeza waandike barua za maombi, kila mmoja aombe wizara atakayoimudu.
 
Yule kiboko ana malori zaidi ya 15 na hiyo nyumba ya 600m(zaidi ya 1bil)uwaziri miaka 4 tu...akiwa waziri 20yrs si balaa??atauza hadi mbu .........i

kama ni mbu waenezao maralia hao achukue wote awauzie waarabu hata kama ataacha uwaziri
 
Back
Top Bottom