TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

Dizain baba yake Riz alimwekaga huyu kawambwa pale kwenye kile kiti baada ya tuhuma zisizohisha za upande fulani wa kiimani kuwa baadhi ya wanafunzi walioko upande huo wa kiimani kuwa wanafelishwa makusudi na kuwa wanapewa nafasi finyu katika baadhi ya field nyeti za kusomea mf:udaktari na kadhalika na huyu jamaa tangu apate nafasi hiyo mambo ndiyo yamezidi kuwa mabaya kuliko ilivyotegemewa!

Wadau wanasema ilifika mda mpaka baba riiiiiz akamwambia brother shukuru vipi bwana tuseme hujui mimi nimekuweka hapo kwa misingi ipi....asa watu walipo baki hoi ni pale jamaa aliposhindwa kumshuhulikia mfanyakazi wake aliyesimamisha wanafunzi kadhaa wenye hoja zenye mashiko wasifanye mitihani yao ya mwisho ya kadato cha sita!

we mjinga mada za elimu zinaandikwa kitaalamu kwa kuwa zinasomwa na wasomi kama unajijua akili yako ya kuvukia barabara tu basi achana na hizo mada nenda kwenye udaku... ***** wewe!
 
we mjinga mada za elimu zinaandikwa kitaalamu kwa kuwa zinasomwa na wasomi kama unajijua akili yako ya kuvukia barabara tu basi achana na hizo mada nenda kwenye udaku... ***** wewe!
Nashukuru kaka!
Ila hakuna anaeanza na kupata vema,huwa tunaanza na makosa na kuya sahihisha mbeleni.
 
jamani namba 12 awekwe yule mama wa wizara ya kazi na maendeleo ya vijana anaitwaaaaa gaudensia kabaka pale hakuna kitu
 
1.Wiliam ngeleja
2.George mkuchika
3.Ezekiel Maige
4.steven Wasira
5.Halji mponda
6.crilly chami
7.Omary nundu
8.Mustapha mkulo
9.prof Jumanne Maghembe
10.Mary nagu
ziada waweza kuongeza wengine
11.
12.

hata JK hahitajiki
 
jamani namba 12 awekwe yule mama wa wizara ya kazi na maendeleo ya vijana anaitwaaaaa gaudensia kabaka pale hakuna kitu

Yula mama anamuogopa Lowasa kama nini..alikuwa anatetemeka kujibu hoja ya ajira za vijana Lowasa alivyoropokaga utafikiri yeye hakuwahi kuwa kiongozi
 
WOTE HAO 10 WANAWEZA KUONDOLEWA ILA MMOJA TU WAJUA NAMSEMA NANI MAZEE.... WASIRA STEVEN! ..HUYU NDO MPISHI WA CHAMA AKIONDOLEWA NANI ATAIZINDIKA IKULU? ahadi akitolewa ntamtumia vocha ya bure aliyeleta hoja hii! anitafute hapa kwny blog!
 
Jamani mnaushahidi Dr Athumani Mfutakamba ni mshirikina?
Yeye ni msomi wa hali ya juu, mnyamwezi wa tbr.. Mtendeeni wema..
 
Kuvunja baraza ni hatua moja, suala la msingi ni kuweka mfumo ambao kwao mawaziri watakuwa wanapimwa wamefanya nini...performance contract hatuwezi kuwa nayo? Na mtu akishindwa basi aachie ngazi mwenyewe? Hata ukibadili lakini kwa mfumo tulio nao sasa tutaendelea kuvunja na kuvunja kila siku....watu wanakuwa semi gods.... Kisa waziri...badala ya waziri kunyenyekea mwananchi, inakuwa kinyume, mwananchi anamnyenyekea waziri wakati huyo waziri anapaswa kuwajibika kwa mwananchi...nafikiri katika mabadiliko ya katiba...tuweke mfumo wa kuwajibisha mawaziri badala ya kusubiri hadi appointing authority ipatiwe "kibali".
 
Nashukuru kaka!
Ila hakuna anaeanza na kupata vema,huwa tunaanza na makosa na kuya sahihisha mbeleni.

tena ulivomjinga wa mawazo na hilo jina lako la dickies hebu lifanye opposite yake tuone unapata jina gani...!
Hilo ndilo linalokufaa mtoto wa watu usie ridhkiii ww...!!
 
Hakuna msafi wote hata Magufuli ni balaa wanajificha tu kichakani mwa tabasamu la JK, wafutwe na kama alivyovunja katiba kwa kuwakataza akina Warioba kujadili masuala yahusuyo kuvunjika au kutovunjika kwa muungano aamuru au ateue mawaziri watuatao:
1. Prof. Wilbrod Slaa Waziri Mkuu
2. Tundu Lisu - Waziri wa Sheria na Katiba akisaidiwa na Mnyika
3. Zitto Zuberi Kamwe - Waziri wa Fedha
4. Mkosamali - Nafasi ya Lukuvi
5. David Kafulila - Viwanda na Biashara
6. Free man Mbowe - Mambo ya ndani
7. Wenje - Serikali za Mitaa na Utawala Bora
8. Nyerere (CDM) - Mambo ya nje
9. Kiwia (Mambo ya ndani)
10. Sugu (Michezo na utamaduni)
11. Mchungaji Msigwa - Mahusiano ya dini mbalimbali - wizara mpya!
12. Dr yule wa Bukombe - Afya na ustawi wa jamii
13. Mama Annaniel Nkya - Jinsia na watoto
14. Magufuli - Ujenzi na Miundombinu
15. Mbunge wa ukerewe - Uvuvi na mifugo
16. Dr. Mwakyembe - Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi
17. Mzee Shirima wa precision - Usafirishaji na uchukuzi
18. tafadhali ongezea....
 
mbona sioni jina la membe likitajwa kwani yeye ana tija gani kwa taifa letu zaidi ya blaa blaa kama rafiki yake JK???
 
Hakuna msafi wote hata Magufuli ni balaa wanajificha tu kichakani mwa tabasamu la JK, wafutwe na kama alivyovunja katiba kwa kuwakataza akina Warioba kujadili masuala yahusuyo kuvunjika au kutovunjika kwa muungano aamuru au ateue mawaziri watuatao:
1. Prof. Wilbrod Slaa Waziri Mkuu
2. Tundu Lisu - Waziri wa Sheria na Katiba akisaidiwa na Mnyika
3. Zitto Zuberi Kamwe - Waziri wa Fedha
4. Mkosamali - Nafasi ya Lukuvi
5. David Kafulila - Viwanda na Biashara
6. Free man Mbowe - Mambo ya ndani
7. Wenje - Serikali za Mitaa na Utawala Bora
8. Nyerere (CDM) - Mambo ya nje
9. Kiwia (Mambo ya ndani)
10. Sugu (Michezo na utamaduni)
11. Mchungaji Msigwa - Mahusiano ya dini mbalimbali - wizara mpya!
12. Dr yule wa Bukombe - Afya na ustawi wa jamii
13. Mama Annaniel Nkya - Jinsia na watoto
14. Magufuli - Ujenzi na Miundombinu
15. Mbunge wa ukerewe - Uvuvi na mifugo
16. Dr. Mwakyembe - Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi
17. Mzee Shirima wa precision - Usafirishaji na uchukuzi
18. tafadhali ongezea....

wapo watakao sema hii list ina harufu ya udini... mzee mtei atakuwa wa kwanza..
 
1.Pinda
2.Mkullo
3.Ngeleja na naibu wake
4.Maige na naibu wake
5.Wassira
6.Sophia Simba
7.Maghembe
8.Chami
9.Nyalandu
10.Mponda
11.Nagu
12.Ghasia
13.Lukuvi

Na msanii akishavunja baraza la mawaziri ajiuzulu maana hastahili kuendelea kuwepo madarakani.
 
1.Wiliam ngeleja
2.George mkuchika
3.Ezekiel Maige
4.steven Wasira
5.Halji mponda
6.crilly chami
7.Omary nundu
8.Mustapha mkulo
9.prof Jumanne Maghembe
10.Mary nagu
ziada waweza kuongeza wengine
11.
12.

Baby Face mtoto wa Mkulima...
Kwa kulia huyu Baba namkubali, ila kwa maamuzi ushuzi mtupu
 
Back
Top Bottom